Habari wana MMU,
Kuna faida sana mkioana mkiwa wote hamjawahi fanya tendo la ndoa. Yaani mume na mke wote mko fresh kabisa.
~Mnapata nafasi nzuri na adimu ya kujifunzia kujamiiana kwenye ndoa. Ina raha yake sana maana wote mnafundishana.
~Mnakuwa na honeymoon yenye uzito au thamani sana kwa kuwa hamjawahi kufanya tendo hilo.
~Mnakuwa hamna habari za x yaani hakuna cha wapenzi wa zamani, hakuna cha kutoa mimba, hakuna watoto wa nje n.k
~Nyinyi wawili ndiyo mnajuana viungo vyenu tu, hamjui vya wengine vikoje. Hivyo kuwafanya kuwa na kuridhika moyoni.
~Mnaaminiana sana.
~Mnakuwa huru sana kwenye njia zenu za mawasiliano kama simu, mitandao ya kijamii n.k.
N.k
Nimeona niwatie moyo wale ambao hawajawahi kufanya tendo la ndoa. Subirini mje mfaidi uhusiano wa namna hii ambao ni adimu sana siku hizi.
Ninayaandika haya kutoka katika uzoefu wangu mwenyewe. Tulioana na mwenzangu tukiwa hatujawahi fanya tendo la ndoa.