Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,250
- 2,314
Najitahidi kwa hilo mkuu,mahitaji nanunua na hela juu wanainjoi ila muoaji ndo sipo kwa haraka kihivyoHakikisha malezi bora kwa mtoto na kwa mama wa mtoto!
Majukumu natimiza,nawapa furaha ya kutosha ila naogopa kuoa tu...mtoto kulea sio gharama kihivyo kila mwezi ninatoa 200k ya matumizi yao na hawaimaliziBado Mvulana Unakwepa Majukumu
Kazi Ni Ujanjaujanja Tu 😀😁😂
Kiongozi Hapo Hujalea Bado, Unachokitafuta UtakipataMajukumu natimiza,nawapa furaha ya kutosha ila naogopa kuoa tu...mtoto kulea sio gharama kihivyo kila mwezi ninatoa 200k ya matumizi yao na hawaimalizi
Mkuu kuzaa na mtu inatokea tu bila kupanga muda mwingineAcha ubinafsi usijfikirie wewe tu mfikirie mtoto, unafikiri yeye hapendi kuwa na Wazazi wenye ndoa? Kwa maoni yangu kama mtu hawezi kuishi na mtu basi asilete kiumbe Dunia hii, tuach ubinafsi, kama humwamini Mwanamke kiasi cha kumuoa usizae naye pia.
Nisaidie kufafanua Mkuu,naweza jifunza kituKiongozi Hapo Hujalea Bado, Unachokitafuta Utakipata
Siku Nyingine Ndiyo Tutakufafanulia. Hata Millions Ukimpa Siyo Kitu 😶🤨😑
Ishi Na Mwenzako Ndiyo Utapata Vema UnachokiogopaNisaidie kufafanua Mkuu,naweza jifunza kitu
Mkuu kuzaa na mtu inatokea tu bila kupanga muda mwingine
Wadada wakiamua wenyewe kuzaa huwezi kumzuia,mnamaliza tendo mnakubaliana atakunywa P2 hanywi anadai amesahau ndo basi anazaa.Alivyoniambia hivyo alinikata moto napo abortion hataki anasema kwanin atoe? Sio mwanafunziDunia ya leo unawezaje kupata mtoto bila ya kupanga ? I mean, nyenzo zote hizo, isitoshe inaonekana basi pia labda hata huyo demu hamna mawasiliano mazuri sana kwani kwa kawaida mademu hawawezi kupata mimba kama hawajapanga, namaanisha mademu wa leo, ...
Hahah hapana sijaoa,kuoa naogopa sana mbele ya watu afu siku mambo yameharibika nitawaambia nin watu.hapo ulipo ushaoa, huna cheti tu na pete kidoleni.
Under implied Condition umeshaoa
Ni yale yale tu,wake za watu sio waaminifu hivyo hivyo ambao hawajaolewa nao sio waaminifuSijui ulipatwa na jambo gani ambalo limekufanya uwemuoga kiasi hicho.
Lakini hilo unalodhani unaliepuka kwa sasa ndio linanafasi kubwa kutokea kuliko ungemuoa, kwa sababu kwa sasa huwezi kumzuia kuwa na mtu mwingine ambaye atakuwatayari kumuoa, kwa kuwa si mke wako na wala hauko tayari kumuoa.
Aliyeolewa atakuwa mke wa mtu, hata kama hatokuwa mwaminifu, na asiyeolewa anaweza kuwa wa yeyote yule.