Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 1,230
- 2,199
Hii kasumba in mlongo sasa hapa tanzania
Mtu ambae hajaoa anaonekana muhuni.
Mtu ambae hajaoa haaminiki.
Mtu ambae hajaoa anaonekana hana akili.
Mtu ambae hajaoa anaonekana mtoto.
Mtu ambae hajaoa anaonekana hana majukumu.
Mtu ambae hajaoa anaonekana hafai kuwa-kiongozi.
Lakini kinachoniuma zaidi, mtu ambae hajaoa HAAMINIKI! But Why?
Kuna uhusiano gani kati ya kuoa na tabia ya mtu hasa uaminifu?