Kuoa mwanamke wa kihaya inataka ujiandae

Status
Not open for further replies.
vyovyote vile wahaya na wanyambo kuna tofauti
so wewe umechukua kwa wanyambo zaidi

wanyambo wako kama watusi hivi
very strict na no nonsense.type
wahaya...well where do i start????????


do! hapo umedanganya, wanyambo hawafanani na watutsi hata kiduchu, wale ni wanyankole.
 
P.didy kuwa tu bayana,wanawake wa kihaya sina uhakika sana lakini nadhani wanaweza wakawa wanaongoza kwa kujiamini na hili uwa linatokana na yafuatayo

1.wanajiamini kwamba ni wazuri hata kama si mzuri.
2.wamesoma ama ndugu zao wamesoma hivyo huwa hawahitaji kubabaishwa na mtu
3.wanakotoka i.e kagera ni kuzuri na wanafahari ya makwao sana ukilinganisha na sehemu zingine
4.wanajithamanisha sana ikiwa ni pamoja na uwezo wao mzuri wawapo shuleni

kwa sababu hizo unapoamua kumuoa binti usije kufanya dharau yoyote kwake ama kumfanyia manyanyaso atakuvumilia dakika mbili nyingi hata kama una pesa kivipi,kimsingi unapokuwa naye jua kwamba uko na mke na ni lazima uonyesha uanaume wako kwake i.e manhood!,always be confident to her!
 
always pitty mind lyk p.dd na wengneo wanaishia kudiscus on othrpple lyf stly..insted yakujadil hs/thr own lyf stl..embu weka mada za msng mkuu
 
hiiii baba nyowe nchei,nshwere ebinyamahanga! Bojo bojo tibina maizi ebi! Kolalya embwa olye n'njungu otalya popi mwana wa mawe! ebi ebijoge bya rubisi ebi! Nyowe nchei! Nayanga!
 
mleta mada nikukumbushe kakitu kamoja!
Hawa jamaa zangu ulowataja hapa so far wanazidi kuendeleya!
Mimi naona ni sababu of knowing how to perform kwenye kutoka kwenye haya maisha. Ndio maana na sema kila mtu huatazama alipotoka na kujiadapt how to struggle! Haijalishi kabila .
Wakola waitu!
 
hivi vile vibanda vya wahaya nyuma ya mitaa bado vipo? viliwahi kuwa kibao enzi fulani na naamini vilisaidia sana kutoa bikira za wavulana matineja na kueneza virusi pia...
 
Hii ni kwa wale ndugu zanguni mlio karibu kuoa wale ndugu zangu jirani zangu waliokuwa wakwe zangu wa bukoba mkoa wa Kagera sipendi muachane ndani ya ndoa ila lengo langu ni kukuaminisha uliye nae ukikosea kumtumia hakika utageuzwa kampuni ya uda yaani una uza hisa za milion 250 huku wewe una thamani ya mabilioni na mwisho unaenda kuwasumbua wale jamaa wanaovaaga makoti yao meusi na vitambaa vyeupe kule mahakamani...sasa basi hakikisha kabla haujaamua kufunga ndoa soma haya na kama unaweza andika kwenye karatasi ukikaribia jihalalishe mwenyewe kwanza usiangalie wakina shemeji ama nani wakati wa hukumu hutokuwa nao hao

1..Je huko vyema kwenye tendo la ndoa..sipendi kukuachanisha la hasha wamiliki wa kubwa wa hisa za kampuni kutokea kagera lazima moja uwe na nguvu halisia usikimbilie zile za kwenye mabango ya siolipiwa hata kodi wanaongeza nguvu za kiume na kurudisha ndoa la hasha huwa ikifika muda zinaisha na ukikuta wameshakufa wewe ndio lala salamaa sisemi umwache la hasha napenda uwe na amani milele badala ya kuishi ndoa ya mavumiliano

2.Ujitayarishe kujiamini..ndugu yangu huwa katika vipaji wanawake wa Kagera walichopewa ni kujiamini utakuta hana hata hela la hasha anavyokupeleka utahisi ndie mwekezaji mwenye hisa kuliko wote katika hili usidanganyike kuwa kimya ati nitaharibu ndoa loh akikuwahi yeye anakumaliza

3.Hakikisha umejiandaa na maisha kikweliii na si kujaribu ..zamani nikuwa nasema wenzangu wa kichaga pale wa machame ndio wakiolewa hawataaki mchezo lazima ukajenge kwao ukikomaa kakutafutia wezi wanakumalizaa njiani kwake si dili

ONYO
MAWAZO YENU VIGEZO NA MASHARTI YA PAW KUZINGA TIWA
Sina uzoefu sana na wahaya...ila tangu ukoloni wanawake wa kitutsi au waliochanganyika(sijui wahangaza or..) pamoja na wamachame na wamaasai walikuwa termed kama most beautiful women ni E &C AFRICA...ya kwamba ni warefu,shingo ndefu(upanga),pua ndefu,miguu na unywele..pdiddy anaweza tokea ghafla mtoto wa kimachame ukaanza tetemeka badala ya kutoa hi, ukampa shikamoo, wamachame wazurii nyie ohoo! ... hata haya/hangaza nao ni wazuriii sasa haya mambo ya tabia mengi yamebaki ni hadithi tu..leo kuna wahaya/m'chames wamezaliwa masaki,london,cairo,mwanza,tabora nk. au ndo 'kuhitimisha tu' mtoto wa joka ni joka?
 
Wanawake wa kihaya wanawapenda sana wanaume watani zao wakurya maana wakurya wamejaaliwa sana mitarimbo na wanapiga shughuli kweli kweli na wanajiamini sanaaa....
 
Mimi nimezaliwa na kukulia Dar kwa hiyo hata nikiongea naongea kama mzaramo. But am so proud that my dady ni mnyambo and mum ni mziba pure. That is why sijaficha kabila langu hapa kwani kwangu it is more than a blessing to be Mnyambo.
Ahh Dada langu hilooo! Safi sana. mbona wanyakyusa wanasema Kyai badala ya Chai nahamjasema?
 
We Pdidy umewataka wamekukataa au unakuwa sio mwanaume na umechambuliwa kwa kuwa yai.<br />
<br />
Waache bwana wana sifa zao kali full natural JUJU ukiingia hutaki kuacha utataka kila wakati

Mkuu hapa nakuunga mkono 95%, wanakulisha kitomvu cha mtoto unakua zoba yani kwake huna kauli.
 
Watoto wa Kihaya hawawazi vitu vidogo kama kanga nk wanawaza maendeleo , kama wewe ni mume wa kuwaza mambo madogo si size yako tafuta pwani utasitarehe.
 
Nimebahatika kufanya kazi nao, they've got brains and so smart ni wapenda maendeleo ukija kwenye suala la mapenzi hapo wala usiguse kabisa wako vizuri na pia wanajua kupenda natamani nioe mmoja kutoka huko.
 
Narudia tena, nimeoa mhaya na ninaishi kwa raha sawa au pengine zaidi ya ndugu zangu waliooa 'kwetu'. Kilichonishinda kwa wahaya kimoja; kula wadudu...
 
Narudia tena, nimeoa mhaya na ninaishi kwa raha sawa au pengine zaidi ya ndugu zangu waliooa 'kwetu'. Kilichonishinda kwa wahaya kimoja; kula wadudu...

Mkuu unaweza kuona unaishi vizuri kumbe ushalishwa ile kitu.
Kuna jamaa kamtoa baru mama yake mzaz na kumtupia mizigo nje kisa tu mkewe hatak mama mkwe aje kwake.

Masikini mama wa watu alikuja kutibiwa ila ndo hivyo mwanae kashawekwa kiganjani.
 
Mkuu unaweza kuona unaishi vizuri kumbe ushalishwa ile kitu.
Kuna jamaa kamtoa baru mama yake mzaz na kumtupia mizigo nje kisa tu mkewe hatak mama mkwe aje kwake.

Masikini mama wa watu alikuja kutibiwa ila ndo hivyo mwanae kashawekwa kiganjani.
Kwani makabila mengine ni wasafi???????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom