Kuoa mwanamke aliyekuzidi kipato/elimu ni changamoto kubwa sana

Yawezekana mwanaume ana upungufu wake. Si bure! Mwanaume aliekamilika hawez kujibiwa hvyo wakati kitandan anamliza
Umemaliza mkuu.......I believe that ,mwanamke hata km kasoma vipi au anapesa VP ,,au ni Afsa wajeshi au nimwanasheria makini , to me atabaki kua mwanamke kwamagot yake atanililia Noway out.
 
Hakuna cha kipato wala nini ni ufala wa mwanaume ulipitiliza..
Kweli Mkuu, mke wangu kanizidi elmu na mshahara kanizidi kama elfu ishirini hivi lakini ananiheshimu na kunielewa sana, tatizo sio ilimu wala kipato bali ni aina ya mke au mume mwenyewe
 
Huyo mwanaume ni zoba,mi mke wangu hata akiwa Billionaire lazima aniheshimu tena kwa nidhamu ya hali ya juu,Akileta jeuri Talaka akatafute hao wanaume mabwege,sipendi ku Entertain ujinga!
Mkuu sio zoba, unaeza kuta jamaa anasubiri ushu zake zikae sawa ndo afanye yake.

Sasa ulimletea jeuria akikufukuza utafanyaje?
 
Huyo jamaa nampa pole, it's either;
1. Huyo mkewe ni mtu jeuri na kiburi in nature, jamaa hana say kwake regardless tofauti ya kipato chao.
2. Huyo jamaa ni bwe.ge tu na hata mke asingekuwa na shilingi wala elimu bado angekaliwa kichwani tu.

Wapo wanawake wengi tu na elimu zao, vipato vikubwa tu lakini they've got respect, wanaheshimu waume zao na jamii kwa ujumla, wala hawajikwezi.
 
Kabisaa
 
Hamna kitu kizuri km kuishi na mwenzio vzr mambo huwa yanabadilila

Mm kuna mdada wakat nipo chuo aliniletea hizo leo maisha yamegeuka mpk namuonea huruma
Mimi kuna mmoja tulikutana wakati yeye anamaliza masters yake hapo udsm mie ndo form four leaver, tukapendana wee mpaka ndoa, Mungu sio Asha boko tukatusua bana, jamaa kawa meneja kwny kampuni fulani, asianze nyodo sasa! Eti hawezi kuwa na mimi sijasoma, siendani nae kwa lolote, anataka wasomi wenzie

Japo iliuma sana lkn sikuweza kumshikilia, madharau ya kiwango cha standard gauge, tukatengana akaenda kuoa msomi mwenzie, leo hii ameangukia pua namwangalia tu kwny side mirror.
 
Mmmh! women with high profile/CV;

mmmh oa tu kama una kifua kipana maana hatakama ni submissive ukae ukijua kuwa hatakuwa submissive kama mwanamke mwenye low profile.

Hata hivyo wapo wanawake wasiyo na elimu yoyote wala pesa/mali ama mchepuko lakini ni wajeuri balaa kutokana na sababu za malezi, asili yao nakadhalika.

Majumuisho yake ni kuwa mke mwema mtu hupewa na BWANA maana yeye huweza kubariki fikra za mwanamme wakati anapotafuta mke ili apate mwenzi watakayeendana.
Uko sahihi kabisa, kaka yangu ameoa mwanamke elimu yake ni std 7 tu lkn anamwendesha hatari.
 
Mimi kuna mmoja tulikutana wakati yeye anamaliza masters yake hapo udsm mie ndo form four leaver, tukapendana wee mpaka ndoa, Mungu sio Asha boko tukatusua bana, jamaa kawa meneja kwny kampuni fulani, asianze nyodo sasa! Eti hawezi kuwa na mimi sijasoma, siendani nae kwa lolote, anataka wasomi wenzie

Japo iliuma sana lkn sikuweza kumshikilia, madharau ya kiwango cha standard gauge, tukatengana akaenda kuoa msomi mwenzie, leo hii ameangukia pua namwangalia tu kwny side mirror.
Naww kwann hukuendelea kusoma baada ya kuolewa?!
 
bado, kwani vipi?
Nimekupenda sana na ubarikiwe. Comment yako inaonyesha bado hujaoa na kama umeoa una experience ya miaka less than 5 years. Mwanamke ndani ya nyumba ni BOSS na wengi inabidi kukubali ili maisha yasonge. Comment yako ni kuwa haiwezekani ndugu yangu hata sie kabla hatujaoa tulidhani /tuliamini kama wewe ila reality ni tofauti. Aidha mke akikuzidi kipato hiyo ni SUMUUUUUUU utanyanyaswa hadi uzoee na kama ana mchepuko (kwa kawaida kama mama ni mkuu wa kaya lazima awe na nyumba ndogo na wewe ni nyumba kubwa) maumivu hayatamaniki Heaven Sent
 
Back
Top Bottom