Kuoa mwanamke aliyekuzidi kipato/elimu ni changamoto kubwa sana

Ni kweli ila huyo inaonekana hana hata staa kabisa si angesubiri ata wageni waondoke?sasa apo kuna ndoa kweli au kupotezeana muda tu kwa stile iyo inaonekana hata nyapu kuoewa ni issue
 
Wanawake wangapi wana PHD na bdo wanaheshimu ndoa zao !huo n ufala uliopitiliza tu,hakuna kitu kinachoweza leta dharau ndani ya nyumba km mwanamke anapokuwa mchepukaji kiburi umjaa hatari
Alafu akikutana na muuza genge aliyepiga viagra kwnza basi mzee utaisoma namba mazima
 
Unasema
Huyo mwanaume ni zoba,mi mke wangu hata akiwa Billionaire lazima aniheshimu tena kwa nidhamu ya hali ya juu,Akileta jeuri Talaka akatafute hao wanaume mabwege,sipendi ku Entertain ujinga!
Kwakua hauko ktk hiyo senerio
 
Nizidi kipato, Elimu, umri, urefu na ikiwezekana hata uzito as long ulikubali niwe mume wako option ya kuniendesha na kunipangia chakufanya as if mpumbavu flani haipo, ntaku heshimu ntakupenda lakini siwez kubali unipore nafasi yangu ya kua mwanaume kwenye nyumba GODDAMMIT.
Trust me on this. Ukitaka kujua mwanamke ni jeuri/kiburi basi awe kakuzidi elimu au kipato. Na akikuzidi vyote hapo lazima uisome namba.

Leo tulienda kumtembelea jamaa ambaye tulisomaga nae kipindi hicho (recently alipatwa na msiba). Fika kwake,tulikaribishwa vizuri tu. Agiziwa vinywaji,story za hapa na pale zikaanza.

Tulivyofika tuliwakuta sebleni akiwaa na mkewe na watoto wanaangalia movie ya Kikorea. Tulipoingia wakapause kutukaribisha. Baada ya utambulisho watoto wote na msaidizi wa kazi waliondoka sebleni,baadae kidogo na shem (mke wa jamaa nae akatoka) so tukabaki wanaume tu tunatwanga story.

Baadae jamaa akaona ngoja a turn kwenye king'amuzi (dstv) tuangalie mechi ya Arsenal. Kutokana na device nyingi kuwa connected,ilibidi achomoe deki ili kuunga king'amuzi. Kabla hajachomoa akatokea msaidizi wa kazi akasema "Baba,Mama amesema eti deki usiizime"

Jamaa akatoka kwenda kuongea nae kujua kulikoni. Sikujua waliongea nini huko walipokuwa,ila wakati natokea wash room nilimsikia mwanamke akisema "Mshahara wako wenyewe hautoshi hata kulipia kodi ya nyumba,ndio utaweza kutoa na ya king'amuzi au hizo unit 28 za luku ulizonunua ndio zinakupa jeuri"

Nilifedheheka as if nimeambiwa mimi yale maneno. Me nikarudi zangu sebleni as if sijaskia chochote.

Jamaa alivyorudi anasema rimoti ya deki imeharibika,tukiizima hapa itawapa tabu kujua walipoanzia,so sijui itakuwaje.

"Tuendeleze story" ndio jibu tulilotoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh! women with high profile/CV;

mmmh oa tu kama una kifua kipana maana hatakama ni submissive ukae ukijua kuwa hatakuwa submissive kama mwanamke mwenye low profile.

Hata hivyo wapo wanawake wasiyo na elimu yoyote wala pesa/mali ama mchepuko lakini ni wajeuri balaa kutokana na sababu za malezi, asili yao nakadhalika.

Majumuisho yake ni kuwa mke mwema mtu hupewa na BWANA maana yeye huweza kubariki fikra za mwanamme wakati anapotafuta mke ili apate mwenzi watakayeendana.

Hata huyo mwenye elimu na kipato kukuzidi huwa anatoka kwa Mungu pia!! Hivyo huyo ni mke mwema pia. Cha muhimu ni kupambana hadi umzidi hicho kipato na elimu ili kujijengea heshima.
Nafikiria tu nje ya box!!!!!
 
Mmmh! women with high profile/CV;

mmmh oa tu kama una kifua kipana maana hatakama ni submissive ukae ukijua kuwa hatakuwa submissive kama mwanamke mwenye low profile.

Hata hivyo wapo wanawake wasiyo na elimu yoyote wala pesa/mali ama mchepuko lakini ni wajeuri balaa kutokana na sababu za malezi, asili yao nakadhalika.

Majumuisho yake ni kuwa mke mwema mtu hupewa na BWANA maana yeye huweza kubariki fikra za mwanamme wakati anapotafuta mke ili apate mwenzi watakayeendana.
Uko sahihi kabisa !!
 
Kunajamaa aliteswa sana namke wake aliyekuwa amemzidi jamaa kipato, pia kwajeuri akawa anatembea na bosi wake kazini huku jamaa akijua, Siku yasiku mwanamke akafukuzwa kazi naboss akamuacha maana alikuwa anazidisha dharau hadi kazini basi jamaa alifanya sherehe kabsa alilewa weekend nzima nawashikaji kusherehekea mke wake kufukuzwa kazi.... kazi yenyewe mdada alipewa tu walahakuwa na professional nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke mwema anatoka kwa bwana. Lakini niseme kitu ndugu zangu wanaume. Ukweli ni kwamba mafanikio yanabadilisha sana tabia ya mwanamke. Mwanamke akiwa na kipato cha uhakika au elimu kumzidi mwanaume haoni sababu ya kumnyenyekea mwanaume coz anaweza kuishi hata bila wewe. Ila kuna wale wanawake wenye malezi mazuri na wameelimika utawafurahia sana kama Mama yetu Samia. Wanawake muda wote wanajiona ni tabaka tawaliwa hivyo wanapambana sana ili nao waonekane watawala. Tz tukijakuwa na uchumi mkubwa kuliko u.s.a watapata taabu sana.
 
Kwa wale wanaobisha hii mada wajiulize kwanini familia nyingi baba anaanza kufa then mama. Wanawake tuwatumie kutoa genye tu,mambo mengine ni stress tu. Tena kadiri utandawazi unavyozidi hata wale wachache waliokua na malezi mazuri na low profile wanapotea kabisa. Wake wengi ndani ya nyumba ni kama chiriku. Wanapopambana kuolewa wanaficha makucha,akiwekwa ndani ndio anaanza kubainisha mapungufu.
 
Trust me on this. Ukitaka kujua mwanamke ni jeuri/kiburi basi awe kakuzidi elimu au kipato. Na akikuzidi vyote hapo lazima uisome namba.

Leo tulienda kumtembelea jamaa ambaye tulisomaga nae kipindi hicho (recently alipatwa na msiba). Fika kwake,tulikaribishwa vizuri tu. Agiziwa vinywaji,story za hapa na pale zikaanza.

Tulivyofika tuliwakuta sebleni akiwaa na mkewe na watoto wanaangalia movie ya Kikorea. Tulipoingia wakapause kutukaribisha. Baada ya utambulisho watoto wote na msaidizi wa kazi waliondoka sebleni,baadae kidogo na shem (mke wa jamaa nae akatoka) so tukabaki wanaume tu tunatwanga story.

Baadae jamaa akaona ngoja a turn kwenye king'amuzi (dstv) tuangalie mechi ya Arsenal. Kutokana na device nyingi kuwa connected,ilibidi achomoe deki ili kuunga king'amuzi. Kabla hajachomoa akatokea msaidizi wa kazi akasema "Baba,Mama amesema eti deki usiizime"

Jamaa akatoka kwenda kuongea nae kujua kulikoni. Sikujua waliongea nini huko walipokuwa,ila wakati natokea wash room nilimsikia mwanamke akisema "Mshahara wako wenyewe hautoshi hata kulipia kodi ya nyumba,ndio utaweza kutoa na ya king'amuzi au hizo unit 28 za luku ulizonunua ndio zinakupa jeuri"

Nilifedheheka as if nimeambiwa mimi yale maneno. Me nikarudi zangu sebleni as if sijaskia chochote.

Jamaa alivyorudi anasema rimoti ya deki imeharibika,tukiizima hapa itawapa tabu kujua walipoanzia,so sijui itakuwaje.

"Tuendeleze story" ndio jibu tulilotoa.
Huyo ni ujinga wake tu,unajua nowdays kuna wanaume wasiojua kubeba uanaume..na jinsi ulivyo anza mada yako mi nakataa,kwa nini nakataa mimi ni mmoja kati ya wengi wanao ishi na wanawake wasomi wakubwa ilihali mimi sina elimu kubwa,lakini mke wangu ananiheshimu kupita kiasi,kwanza anafanya vitu vya nyumbani tu pamoja na usomi wake,mimi pamoja na kutokusoma ni dereva tu wa mashirika lakini mke anaishi kama wake wa maboss wengine,kila kinachotakiwa ktk maisha kwa maana ya ujenzi wa nyumba,gari,chakula na mavazi,pia mipango ya baadae ya watoto wetu nafanya mimi hapa na si senti ya mwanamke hata kama angekua anafanya kazi..shida siku hizi mnavaa visuruali vya kubana na kakingereza ka kuunga uunga mnatafuta wadada waliosoma wana kazi mnawadanganya kua mnaweza wanaishi nanyi then kumbe akili ya kutafuta hamna na mnaishi kwa kukariri kua kazi ya kukuoa pesa ni kukaa ofisini,na kwa kua huyo mtu ni rafiki yako basi hata wewe ni mmoja kati yake,jifungeni mkanda,tafuteni maisha kwa bidii,mjini pakishindikana back to your roots kuliko na mashambaya babu au bibi au mjomba,kama hakuna kwa uzembe pia wa wazazi wako nenda ofisi ya serikai waombe shamba,ardhi ipo kubwa mno hapa nchini na ina mali,anza kama mchezo bila kuona mbele kuna nini na baada ya kilimo cha miaka isiyo pungua mitano mpka saba huyo mke atakua anawaheshimu kuliko maelezo

Kuaeni muache utoto na ujinga ujinga.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Trust me on this. Ukitaka kujua mwanamke ni jeuri/kiburi basi awe kakuzidi elimu au kipato. Na akikuzidi vyote hapo lazima uisome namba.

Leo tulienda kumtembelea jamaa ambaye tulisomaga nae kipindi hicho (recently alipatwa na msiba). Fika kwake,tulikaribishwa vizuri tu. Agiziwa vinywaji,story za hapa na pale zikaanza.

Tulivyofika tuliwakuta sebleni akiwaa na mkewe na watoto wanaangalia movie ya Kikorea. Tulipoingia wakapause kutukaribisha. Baada ya utambulisho watoto wote na msaidizi wa kazi waliondoka sebleni,baadae kidogo na shem (mke wa jamaa nae akatoka) so tukabaki wanaume tu tunatwanga story.

Baadae jamaa akaona ngoja a turn kwenye king'amuzi (dstv) tuangalie mechi ya Arsenal. Kutokana na device nyingi kuwa connected,ilibidi achomoe deki ili kuunga king'amuzi. Kabla hajachomoa akatokea msaidizi wa kazi akasema "Baba,Mama amesema eti deki usiizime"

Jamaa akatoka kwenda kuongea nae kujua kulikoni. Sikujua waliongea nini huko walipokuwa,ila wakati natokea wash room nilimsikia mwanamke akisema "Mshahara wako wenyewe hautoshi hata kulipia kodi ya nyumba,ndio utaweza kutoa na ya king'amuzi au hizo unit 28 za luku ulizonunua ndio zinakupa jeuri"

Nilifedheheka as if nimeambiwa mimi yale maneno. Me nikarudi zangu sebleni as if sijaskia chochote.

Jamaa alivyorudi anasema rimoti ya deki imeharibika,tukiizima hapa itawapa tabu kujua walipoanzia,so sijui itakuwaje.

"Tuendeleze story" ndio jibu tulilotoa.
LOH KICHAPO NITAKACHO KUA NAANGUSHA NI KAMA JANGA LA CORONA
 
Back
Top Bottom