Umezungumzia uzinzi ivo endelea tu, ndoa ni taasisi nyingine wewe haikufai kabisa, maana ndoa inawahusu wanaume waliokomaa kiakili.
Ukiwa mkubwa utaelewa.1. Kama mpenzi wangu kila ijumaa anakuja kwangu na anasipendi nae mpaka jumapili usiku, nioe ili iweje?2. Kama kila nguo zangu zikichafuka au nyumba ikihitaji usafi sikosi mwanamke wa kunisaidie, nioe ili iweje?3. Kama mwanamke niliyempa mimba yuko tayari kuzaa, nioe ili iweje?4. Kama kila nikihitaji tendo la ngono (sio tendo la ndoa) nalipata kwa wakati, nioe ili iweje?5. Kama kila nikihitaji ushauri au kuliwazwa na mwanamke napata, nioe ili iweje?Bado nipo nipo sana
Sio under 18 litakuwa lijitu lizima ila sema ubongo wake uli-stuck akiwa na miaka 10, litakuwa lijitu la 30's au 40's lakini ubongo wake unafikiri kama mtoto wa miaka 10. Mtu gani huna akili ya kufikiri wazazi wake walioana linakazaliwa lenyewe na sasa limekuwa linaogopa kuoa kubwa zima
ndoa ni mtazamo tu wa mtu au utamaduni ndio maana baadhi ya tamaduni wanaozwa/ozeshwa wakiwa katika umri mdogo. Ukomavu wa akili hauhusiani na mambo ya ndoa. Think outside the box
ndoa ni mtazamo tu wa mtu au utamaduni ndio maana baadhi ya tamaduni wanaozwa/ozeshwa wakiwa katika umri mdogo. Ukomavu wa akili hauhusiani na mambo ya ndoa. Think outside the box
wewe nawe sikujua ni kilaza hivi #kawoli
naona unahalisha nyeupe kuwa nyekundu
maisha ya ndoa ni zaidi za kugegedana
ndio maana kwenye ndoa kuna tendo la ndoa ni sehemu ya ndoa
kuna kuumwa na kuuguzwa sitaki kuamini hiko kimada kisichokula kiapo kitadumu kwenye ups and downs
naomba iyo dawa usiwaambie na wengine maana itakuwa balaa, iwe siri yako tafadhali
Kitadumu ili iweje?! Kuna waliokula viapo na bado wakasambaa muda wa changamoto itakua kimada sijui kidada??
Halafu Mwanamke akae tu kiuaminifu kwa mwanaume kama huyu??
Dawa yake moja tu huyu....
1. Kama mpenzi wangu kila ijumaa anakuja kwangu na anasipendi nae mpaka jumapili usiku, nioe ili iweje?
2. Kama kila nguo zangu zikichafuka au nyumba ikihitaji usafi sikosi mwanamke wa kunisaidie, nioe ili iweje?
3. Kama mwanamke niliyempa mimba yuko tayari kuzaa, nioe ili iweje?
4. Kama kila nikihitaji tendo la ngono (sio tendo la ndoa) nalipata kwa wakati, nioe ili iweje?
5. Kama kila nikihitaji ushauri au kuliwazwa na mwanamke napata, nioe ili iweje?
Bado nipo nipo sana