Kuoa! Ili iweje?

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
10,745
Reaction score
29,219
1. Kama mpenzi wangu kila ijumaa anakuja kwangu na anasipendi nae mpaka jumapili usiku, nioe ili iweje?
2. Kama kila nguo zangu zikichafuka au nyumba ikihitaji usafi sikosi mwanamke wa kunisaidie, nioe ili iweje?
3. Kama mwanamke niliyempa mimba yuko tayari kuzaa, nioe ili iweje?
4. Kama kila nikihitaji tendo la ngono (sio tendo la ndoa) nalipata kwa wakati, nioe ili iweje?
5. Kama kila nikihitaji ushauri au kuliwazwa na mwanamke napata, nioe ili iweje?

Bado nipo nipo sana

naona unahalisha nyeupe kuwa nyekundu
maisha ya ndoa ni zaidi za kugegedana
ndio maana kwenye ndoa kuna tendo la ndoa ni sehemu ya ndoa
kuna kuumwa na kuuguzwa sitaki kuamini hiko kimada kisichokula kiapo kitadumu kwenye ups and downs
 
kawoli

1: utakuja Kuzikwa na dhambi ya uzinzi ..

2: hutapata heshima kama mwanaume alieoa anapaswa kupata .

3: Hakuna legacy yeyote utakayo acha kwa mtoto Wako kwakua hatapata mapenzi halisi ya familia
 
Last edited by a moderator:
Hela zitakapokuishia, hizo positives zako zote zitageuka negatives. ZINGATIA HILO.
 
1: utakuja Kuzikwa na dhambi ya uzinzi ..

2: hutapata heshima kama mwanaume alieoa anapaswa kupata .

3: Hakuna legacy yeyote utakayo acha kwa mtoto Wako kwakua hatapata mapenzi halisi ya familia

  • ambae hajawahi kuzini na awe wa kwanza kunyoosha kidole juu
  • Ndoa peke yake haileti heshima, heshima anapata yule ambae anasimamia maadili ya ndoa na jamii inayomzunguka. wangapi wanafanya madudu ktk jamii zao na hawaheshimiki japo wapo ktk ndoa
  • Anachohitaji mwanangu ni kutengenezewa mazingira mazuri ya ili aje aishi maisha bora
 
naona unahalisha nyeupe kuwa nyekundu
maisha ya ndoa ni zaidi za kugegedana
ndio maana kwenye ndoa kuna tendo la ndoa ni sehemu ya ndoa
kuna kuumwa na kuuguzwa sitaki kuamini hiko kimada kisichokula kiapo kitadumu kwenye ups and downs
umenena vema lakini hapo kwenye red, huwezi kuweka guarantee kwa mwanamke/binadamu as tumekuwa tukishuhudia au kusikia baadhi ya wanandoa wakiwakimbia wenzi wao kwenye matatizo sambamba na hilo
 
umenena vema lakini hapo kwenye red, huwezi kuweka guarantee kwa mwanamke/binadamu as tumekuwa tukishuhudia au kusikia baadhi ya wanandoa wakiwakimbia wenzi wao kwenye matatizo sambamba na hilo

kwa hiyo kwa kuwa baadhi ya binadamu ni wezi je watu wote ni wezi ??
usichukue udhaifu wa wachache ukawahukumu watu wote waliouguzana ni wengi kuliko waliokimbiana
muda ukifika utaoa
uzeeni kuishi peke yako haipendezi watu wange wanaoishi pamoja wanaishi kama mtu na mkewe
hiyo kampani uliyonayo sasa itafika kipindi itapotea faraja itapotea kila mtu atakua kivyake akifanya yake na familia yake
ukipata nafasi oa kijana
 
dizain kama aujiamini kuoa na bila shaka huyo mwanamke wako wote hamna malengo ya kuja kuishi kama mume na mke ndyo maana kila kitu kinaishia kwa shot time
 
Halafu Mwanamke akae tu kiuaminifu kwa mwanaume kama huyu??
Dawa yake moja tu huyu....
 
kabisa isitose co kosa lake huenda ni under 18 sooooo msameheni bure.....
Sio under 18 litakuwa lijitu lizima ila sema ubongo wake uli-stuck akiwa na miaka 10, litakuwa lijitu la 30's au 40's lakini ubongo wake unafikiri kama mtoto wa miaka 10. Mtu gani huna akili ya kufikiri wazazi wake walioana linakazaliwa lenyewe na sasa limekuwa linaogopa kuoa kubwa zima
 
ama ndo kukwep majuku maan wanaume wengi cku hizi hovyoo kbs
 
Halafu Mwanamke akae tu kiuaminifu kwa mwanaume kama huyu??
Dawa yake moja tu huyu....

naomba iyo dawa usiwaambie na wengine maana itakuwa balaa, iwe siri yako tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…