halmashauri ya Mji wa Kiteto......
hahah tu mandazi tu asakuta halafu tunapanda ka dala dala fasta kuwahi nyumbani kujipongeza! chezeaaaaa
Ambao bado hamjaoa kazi mnayo huko tuendako
yaani hii tabia yakuombwa michango inakeeera,
unakuta mtu unashindwa kufanya mambo yako ya maendeleo kisa unakadi 7 za michango wote sio chini ya 100,000 embu niambie, kwanini mtuu usijichangishe vihela vyako mwenyewe theni ndio ujipange kuoa.
kuna ndugu yangu alioa akaestimate anataka harusi yake isipungue 20milns tulikomaje? familia nzima ilibidi tupewe kiwango cha kuleta yaani nikufanywa ombaomba sasa baada ya hela kupatika jinsigani ilivyochezewa kadi moja ya mwaliko ilikuwaimegharimu 12,000 waalikwa 300 sio chakula wala kinywaji hapo hizo ni kadi tuu nikajiuliza sasahivi kuoa imekua anasa ama?
sasa hivi sichangi ambaye hajaoa wala kuolewa na anataka achangiwe imekula kwakwe.

Wana jamvi habarini,
Nina rafiki yangu mdada, anahitaji kuolewa na mchumba wake waliokuwa nae kwa miaka miwili sasa
tatizo huyo muoaji, hataki habari za sherehe ya ndoa,
madai yake ni kupoteza muda na pia resources.
ambacho anakipinga ni kuanza kuwachangisha watu michango ya harusi
ila jamaa ni a kind of anti-social fulani
hana marafiki wengi
so nadhani anaogopa kuwa haitafanukiwa.
mimi kama rafiki, mtazamo wangu ni kwamba
sherehe sio ya muhimu saaaana kama wanapendana na kuelewana
namuunga mkono jamaa, akatoe mahali kama utaratibu then achukue mkewe kwa ndoa ya kimila au bomani.
rafiki yangu hajanielewa kwa kukubaliana na mtazamo wa mchumba wake!!!
wewe mwana MMU wasemaje?
Kwani mkipika Pilau lenu nyumbani bila kualika wasio wahusika sio sherehe?
ofisi gani hiyo mkuu ? tukachangishe na sisi hiyo michango tupige bingo hapa mjini.
Watu tunapenda ku Co mplicate mambo.........
ile adha ya kuomba mchango loo yani mtu akiona
simu yako tu anajua Mchango hata kama una jambo
la tofauti!!!!!!!!!!!!!
Kuoa uoe wewe, mie nitoe hela ili ufanye sherehe! Ili iweje, je mke ni wa kwako ama wa kwetu?