Kunywa maziwa ya mtoto!!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Jibaba linafyonza tu, loooh!

milk.jpg
sokwe.jpg
bofloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Nilishapata kusikliza kipindi fulani redioni, akina Mama (Pwani) wanalalamika kuwa watoto wao wanapata utapiamlo kwa vile akina baba wanamaliza maziwa yote usiku!
 
Boflo umezipeleka hisia zangu mbali sana, umesababisha nishindwe ku-concentrate kwenye kibarua ninachofanya sasa hivi.
 
Nilishapata kusikliza kipindi fulani redioni, akina Mama (Pwani) wanalalamika kuwa watoto wao wanapata utapiamlo kwa vile akina baba wanamaliza maziwa yote usiku!

duhh....

hii kali pj
 
yanaongeza nguvu za kiume na wakina mama wanafurahia, wanasema mtoto ana mda wake na baba ana mda wake

Mkuu kwa nnavyojua muda wa baba ni kabla ya mtoto kuzaliwa na mtoto akiacha kunyonya mbona baba anakuwa na muda mrefu wa kunyonya kumuachia mtoto miaka miwili au mitatu sio mbaya so far baba alishanyonya akiwa mtoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom