Kunyonyesha mtoto

Noted .

Nanyonyesha mwenzenu msisahau kunitumia Pampers na matunda sawa Lizzy

nafata sheria za unyonyeshaji kama inavyotakiwa
Hahahaha unataka machungwa, maembe au mananasi FirstLady1 ??!

Hongera mwaya, miezi mingapi?! Kama bado kadogo chini ya kilo 9 nikupe tip, tafuta pampers za ROZI BEBE, ni nzuri kama Pampers original, yani laiiiini and very confortable alafu bei yake ni zaidi ya reasonable. Yani haya ma-Sleepy sijui Sanita na mengineyo hayaoni ndani kwa bei wala ubora. Kwa size kubwa pakti yenye diaper 40 ni 12 000 na size ndogo nadhani zinakuwa mpaka 56. Ila bahati mbaya size kubwa ni shida kupata maana for some reason wamecha kusambaza ila ndogo # 2 na 3 zipo kenye maduka mengi.
 
Last edited by a moderator:
Hhahahhaha....
Kweli kabisa, ndo maana nimewasihi wababa wawajali wenzi wao maana japo hawanyonyeshi wao bado wanaweza kumfanya mama aweze au ashindwe kutimiza jukumu lake hilo kwa mtoto
 

tahadhari ya magonjwa hiyo,wengine hawanyonyeshi maziwa yatalala
 

yaani hapa umegonga penyewe kabisa ni sheeedah
 


nakushukuru sana mamy kwa Tips mtoto wangu sasa yuko 10 kg

Tatizo katoto hakali na mie nafanya kazi masaa zaidi ya 10 nimekonda kwa mawazo Lizzy
 
Last edited by a moderator:
nakushukuru sana mamy kwa Tips mtoto wangu sasa yuko 10 kg

Tatizo katoto hakali na mie nafanya kazi masaa zaidi ya 10 nimekonda kwa mawazo Lizzy

My dear kwa age ngapi mwanao na hizi 10 kg. Here we are talking about 22 Ibs ya huyo Mtoto wetu. Just elewa kila age ina range weight yake.Ningejua age yake ningeweza kukujibu kama hizi kg ziko sawa or not. Na pia kumbuka kuna age Fulani watoto wakifikia huwa Wanasumbua sana kula hii ni kwa ajili ya ukuaji wao na pia michezo pia inachangia kuwafanya wawe hivyo , hiki si kitu cha worry sana ila make sure unampunguzia kunywa ,kunywa sana ili awe na appetite ya kula, and remember hii pia inategemea na age ya Mtoto, ni kwa wale walioanza kula vyakulavya kawaida . Thanks!
 
Last edited by a moderator:
Hilo ni kweli kabisa, hata kama mama ana maziwa mengi, mtoto wa miezi sita maziwa pekee hayamtoshi anahitaji chakula cha ziada.

miezi 6 maziwa ya mama tu...hayatoshi!!!
 
Mwanangu kanyonya sanaaa sasa imetosha khaaaa afu watoto wakiume wananyonya hatar
 
nakushukuru sana mamy kwa Tips mtoto wangu sasa yuko 10 kg

Tatizo katoto hakali na mie nafanya kazi masaa zaidi ya 10 nimekonda kwa mawazo Lizzy

Ana umri gani mama wa kwanza?!


MankaM kweli aisee..wanakamua mpaka basi weee. Mi nimeamua kumpa wangu offer mpaka afikishe 2.5 alafu tunapigana kibuti cha manyonyo maana kafika mahali ananiambia kabisa "mamii kaa hapo" ili anyonye.
 
Last edited by a moderator:
Leo hii nimetoka kumshangaa rafiki yangu ambaye amekataa kunywa hata maji kisa mzazi, yeye ni manyama, supu, mitori na uji wa ulezi mwezi wa pili huu. Constipation kila siku na haelewi kwa nini. Balanced diet muhimu sana kwa mama anayenyonyesha.

 
aaaah waende huko wakajali huko huko kwenye nyuchi za uhakika pyeeeee stress pembeni baby ajenge shavu
 
Kuna dada mwangine juxi kafa kisa alikataa kujifungua na njia yakawaida madai yake " hataki K*** itanuke" akafanyiwa operation akazaa mtoto na akafa

Kina dada urembo upo ukipita kubali matokeo maisha ni muhim kuliko ayo yote
 
Breastfeeding is special moment for mother and child to bond.

Nilienjoy sana ku breastfeed and I cannot wait to hold another little one in my arms and feed him for two years God willing.

its very true, mama na mtoto wanabond sanawakati wa kunyonyesha, nina rafiki yangu alimwachisha mtoto kunyonya akiwa na miezi mi3 na mumewe akamsapoti akaanza kupewa maziwa ya kopo, mtoto hampendi mama hata kidogo,anampenda housegirl kuliko mama yaani hana muda nae kabisaa
 
Alafu wanakuaga wanaboa ukiwaambia wanajidai vichwa vigumu eti dokta kasema tuanze kumnywesha uji apate nguvu, uji mtoto wa miezi minne akili ya wapi hiyo 😬😐😐😐😡😡😡😡😡

Kunyonyesha pia kunategemea na afya ya mama. Kuna rafiki yangu kufata maushauri haya aliteseka. Hadi Dr alimwambia awaanzishie watoto chakula mbadala.

Yeye alikua na mapacha, walikua wananyonya balaa, mapresha kushuka watu wakawa wanamwambia ni kawaida.

Hali ikawa haibadiliki, kwenda hosp Dr akamshauri lishe mbadala kwa wanae na usiku wanywe maziwa halafu ndio wanyonye.

Tatizo aliloambiwa nashindwa kuandika maana sikumbuki vizuri ila ilikua ni la kuhusiana na moyo.
 
Ana umri gani mama wa kwanza?!


MankaM kweli aisee..wanakamua mpaka basi weee. Mi nimeamua kumpa wangu offer mpaka afikishe 2.5 alafu tunapigana kibuti cha manyonyo maana kafika mahali ananiambia kabisa "mamii kaa hapo" ili anyonye.

mmmh miaka 2.5 si wanasema kuna kipindi kama utaendelea kumnyonyesha mtoto mkubwa hivyo maziwa yanageuka uchafu mwisho 2yrs
 
Last edited by a moderator:
mmmh miaka 2.5 si wanasema kuna kipindi kama utaendelea kumnyonyesha mtoto mkubwa hivyo maziwa yanageuka uchafu mwisho 2yrs
neddy nawe unaanza kunyonyesha lini tununue diapers?
 
.....nilinyonyesha miezi 6 mfululizo bila kumpa chakula chochote. Alipofika miezi 6 akaanza kula vyakula na ziwa akaacha. Na yupo healthy na maakili kibao

Maziwa muhimu sana na yenye virutubisho ni ya mwanzoni hadi miezi 6. Haya ni muhimu sana.

Huwa nashangaa miaka 2 unanyonyesha mtoto? Labda kama huna means ya kumpatia vyakula bora mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…