Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
Mr Rocky huwezi kuning'ata ulimi wangu..........
Mr Rocky huwezi kuning'ata ulimi wangu..........
hapana aise nina degree ya kufanya hii mambo so hapo naona ni cha mtoto tuu we utaona mwenyewe Heaven on earth
Kama ni hivyo sawa.....ila hiyo degree uliipatia wapi Mr Rocky
Si unajua mtaani ni shule tosha yaani huku mtaani hata PHD unaweza pata kwa kupitia huku huku Heaven on earth
Hahaaa Street University hiyo...........kazi kweli kweli..........
hahahaha! Dah jf ni tiba ya stress for sure!
we muache tu ye kutwa anashinda jukwaa la wakubwa.....
hilo denda ni hatare unajua Mr Rocky nashindwa kulopatia pozi.........