Kunyonya

Kunyonya

mchonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
1,233
Reaction score
249
Mama mmoja alitaka kumnyonyesha mwanae ndani ya daladala, Mtoto akakataa.
Mama akamwambia tena mwanae nyonya kana hutaki nampa anko hapa anyonye
jamaa alie kaa naye karibu, Mtoto akanyonya kidogo akaacha. Mama akamtishia
tena kumpa anko, Ndipo njemba likashindwa vumilia na kusema "MAMA UWE NA
MSIMAMO UNAJUA NIMEPITILIZA VITUO VI4 KWA AJILI YAKO,, HEBU KUWA MKWELI
UTANIPA NINYONYE AMA NISHUKE.?
 
Hii kitu imetulia sana.
 
Du hata mm ningedai kunyonya vyote
 
Hahaha....
Yani nimejiziba mdomo lakini wap...
Kwi,kwi,kwi...
 
Back
Top Bottom