Kunyimwa uhamisho Wa mtoto

Kunyimwa uhamisho Wa mtoto

Nuraty J

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
1,724
Reaction score
3,834
Habari wana Jf,
Dada yangu ana mwanae alikuwa anasoma shule ya private hapo Daresalaam maeneo Ya Tegeta , sasa kuna kipindi alisimamishwa anadaiwa ada kiasi cha 320,000.

Ña yeye kwakuwa uchumi wake umeyumba akahamua amuhamishie mwanae shule ya serikali darasa la nne, sasa amejaribu kufuatilia uhamisho kule ktk shule ya private,, uhamisho upo tayari Mwl mkuu alishaufuatilia,
Lakini wamegoma kumpa mpka alipe deni lao, na Kuna kipindi kirefu mtoto walimsimamisha akawa asomi, kibaya zaidi na kule shule Ya serikali mtoto amerudishwa mpaka aende na uhamisho,

Amejaribu kuwaomba kule shule ya private ikibidi waandikishiane, bado wamegoma wao wanataka pesa ndio watoe uhamisho,

Ivi ni hatua gani anaweza akachukua, maana nahisi ana adhibiwa mtoto Kwa kosa lisilomuhusu,,
 
Awamu ya tano kila kiumbe kitanena kwa lugha, kamuone Makonda ndio naibu Rais na ni rahisi kumuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muone Afisa Elimu kata wa kata husika atakusaidia. Huu ni ushauri wa kitaalam, akishindwa nenda kwa Afisa Elimu wilaya upande wa shule hizo za msingi.

Wakigoma kabisa panda ngazi zaidi kwa Afisa Elimu mkoa hadi tamisemi.

Ila pia tafuta njia ya kulipa deni la mtoto bila kumuathiri yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana Jf,
Dada yangu ana mwanae alikuwa anasoma shule ya private hapo Daresalaam maeneo Ya Tegeta , sasa kuna kipindi alisimamishwa anadaiwa ada kiasi cha 320,000.

Ña yeye kwakuwa uchumi wake umeyumba akahamua amuhamishie mwanae shule ya serikali darasa la nne, sasa amejaribu kufuatilia uhamisho kule ktk shule ya private,, uhamisho upo tayari Mwl mkuu alishaufuatilia,
Lakini wamegoma kumpa mpka alipe deni lao, na Kuna kipindi kirefu mtoto walimsimamisha akawa asomi, kibaya zaidi na kule shule Ya serikali mtoto amerudishwa mpaka aende na uhamisho,

Amejaribu kuwaomba kule shule ya private ikibidi waandikishiane, bado wamegoma wao wanataka pesa ndio watoe uhamisho,

Ivi ni hatua gani anaweza akachukua, maana nahisi ana adhibiwa mtoto Kwa kosa lisilomuhusu,,
Mwambie dada yako awasiliane na namba hii 0767221344, kisha aelezee kila kinacho msibu na atapata msaada.
Hapo kosa la kwanza ni shule iliyo mfukuza mtoto kwasababu tu mzazi anadaiwa, na kosa la pili ni shule iliyo kitaa kumpokea mtoto kwasababu tu hajakilisha uhamisho.
 
Habari wana Jf,
Dada yangu ana mwanae alikuwa anasoma shule ya private hapo Daresalaam maeneo Ya Tegeta , sasa kuna kipindi alisimamishwa anadaiwa ada kiasi cha 320,000.

Ña yeye kwakuwa uchumi wake umeyumba akahamua amuhamishie mwanae shule ya serikali darasa la nne, sasa amejaribu kufuatilia uhamisho kule ktk shule ya private,, uhamisho upo tayari Mwl mkuu alishaufuatilia,
Lakini wamegoma kumpa mpka alipe deni lao, na Kuna kipindi kirefu mtoto walimsimamisha akawa asomi, kibaya zaidi na kule shule Ya serikali mtoto amerudishwa mpaka aende na uhamisho,

Amejaribu kuwaomba kule shule ya private ikibidi waandikishiane, bado wamegoma wao wanataka pesa ndio watoe uhamisho,

Ivi ni hatua gani anaweza akachukua, maana nahisi ana adhibiwa mtoto Kwa kosa lisilomuhusu,,
Aende halmashauri kwa afisa elimu wa manspaa ya Kinondoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom