Kunyimwa uhamisho Wa mtoto

Kunyimwa uhamisho Wa mtoto

Habari wana Jf,
Dada yangu ana mwanae alikuwa anasoma shule ya private hapo Daresalaam maeneo Ya Tegeta , sasa kuna kipindi alisimamishwa anadaiwa ada kiasi cha 320,000.

Ña yeye kwakuwa uchumi wake umeyumba akahamua amuhamishie mwanae shule ya serikali darasa la nne, sasa amejaribu kufuatilia uhamisho kule ktk shule ya private,, uhamisho upo tayari Mwl mkuu alishaufuatilia,
Lakini wamegoma kumpa mpka alipe deni lao, na Kuna kipindi kirefu mtoto walimsimamisha akawa asomi, kibaya zaidi na kule shule Ya serikali mtoto amerudishwa mpaka aende na uhamisho,

Amejaribu kuwaomba kule shule ya private ikibidi waandikishiane, bado wamegoma wao wanataka pesa ndio watoe uhamisho,

Ivi ni hatua gani anaweza akachukua, maana nahisi ana adhibiwa mtoto Kwa kosa lisilomuhusu,,

Hilo eneo halina Afisa elimu wa kusaidia kumaliza utata ili mtoto aendelee kupata haki yake ya msingi
 
Mwambie dada yako awasiliane na namba hii 0767221344, kisha aelezee kila kinacho msibu na atapata msaada.
Hapo kosa la kwanza ni shule iliyo mfukuza mtoto kwasababu tu mzazi anadaiwa, na kosa la pili ni shule iliyo kitaa kumpokea mtoto kwasababu tu hajakilisha uhamisho.
Hivi mwanafunzi anaweza kuhama kutoka private kwenda serikalini msaada tafadhali?
 
Ndio mkuu, binafsi niliwahi kufanya hivyo kwa bwamdogo wangu.
Kwanza nilitafuta shule ambayo nikitaka ahamie, then nikaenda kumuombea nafasi ya kusoma (haki ya mtoto ya msingi) kwa muda wakati nashughulikia uhamisho.... baada ya hayo, mengine yalifuata
 
Zile namba ulizonipa ni za afisa elimu
 
Habari wana Jf,
Dada yangu ana mwanae alikuwa anasoma shule ya private hapo Daresalaam maeneo Ya Tegeta , sasa kuna kipindi alisimamishwa anadaiwa ada kiasi cha 320,000.

Ña yeye kwakuwa uchumi wake umeyumba akahamua amuhamishie mwanae shule ya serikali darasa la nne, sasa amejaribu kufuatilia uhamisho kule ktk shule ya private,, uhamisho upo tayari Mwl mkuu alishaufuatilia,
Lakini wamegoma kumpa mpka alipe deni lao, na Kuna kipindi kirefu mtoto walimsimamisha akawa asomi, kibaya zaidi na kule shule Ya serikali mtoto amerudishwa mpaka aende na uhamisho,

Amejaribu kuwaomba kule shule ya private ikibidi waandikishiane, bado wamegoma wao wanataka pesa ndio watoe uhamisho,

Ivi ni hatua gani anaweza akachukua, maana nahisi ana adhibiwa mtoto Kwa kosa lisilomuhusu,,
Ulipe tu deni la watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, zile ni namba za waziri husika wa hicho kinacho kusumbua.
Na yeye ndie aliwaweka hadharani kwa wenye uhitaji na shida kama wewe
Thanx Kaka angu, ngojea nimpe awasiliane nae, naamini atamsaidia maana awamu hii mawaziri wapo kikazi kumuhofia bwana mkubwa
 
Mkuu, zile ni namba za waziri husika wa hicho kinacho kusumbua.
Na yeye ndie aliwaweka hadharani kwa wenye uhitaji na shida kama wewe
Kumbe mkuu wewe ni waziri ---- manina mungu anipe nini mimi numeshatoka maisha haya " yaani rafiki yangu ushimen ni waziri halafu niendelee kula msoto ". Hata shetani atanicheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mkuu, binafsi niliwahi kufanya hivyo kwa bwamdogo wangu.
Kwanza nilitafuta shule ambayo nikitaka ahamie, then nikaenda kumuombea nafasi ya kusoma (haki ya mtoto ya msingi) kwa muda wakati nashughulikia uhamisho.... baada ya hayo, mengine yalifuata
Sekondari hairuhusiwi mwanafunzi kutoka private kwenda serikalini
 
Ukitaka kujua wapi mtoto wako atapata elimu bora angalia viongozi wetu wanaosimamia elimu wanapeleka wapi watoto wao. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako
 
Dawa ya deni ni kulipa, there's no any other way

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom