kunyimwa tendo la ndoa

kama umeoa na siku moja mkeo anakuambia hawezi kukupa tendo la ndoa kwavile hana uhakika ikiwa unampenda utafanayaje?

pia nini haswa kinachofanya mtu aseme anapenda na ikiwa mahusiano yenu kwa mambo mengine yako sawa yaani hamjawahi kugombana wala nini imefika usiku muheshimiwa unadai chakula cha usiku mkono unatolewa unatupwa huko ukiuliza kulikoni ndio unajiwa kuwa huwezi kupewa chakula cha usiku kwavile huyo mkeo hajui ikiwa unampenda !!!
ukishaoa au kuolewa tendo la ndoa ni wajibu
 
Kuna wanaume huwa wanapenda wakinyimwa sex home maana ndiyo muda wake kuchepuka
 
Yapo mambo mengi yanayoweza kusababisha kunyimwa msongo wa mawazo,majukumu ya nyumbani, labda mwanaume akili yk ni yakuwaza chini tu hamna kusema anakujali ht kwa zawadi nk mf unakuwa mwanamke ndo uwaze bajeti za nyumbani yy hana hbr,kingine michepuko nayo inakatisha tamaa yakufurahia ndoa ni vyema kutafakar kwa nn unanyimwa na ujiangalie wapi unakosea nakurekebishana mambo yasonge mbele
 
Akininyima nahamia sitting room kama sipo kwenye nyumba za kupanga, naweka muvi naendelea kuangalia. Na kama hakuna mtoto, volume ya kutosha. Halafu nione akiniletea sura yake kuwa namnyima usingizi kwa makelele, ataisoma.
 
Nakwambia "MAISHA YAKE" (mke wangu) hatofanya hilo kosa.....kwa sababu atajua kitakacho fatia
 
Pardon me ? in fact I think otherwise... there is def. something wrong with YOU.... yes u and those who thinks like u... mie sioni ubaya wowote mtu kumdekesha mke wake kwani wewe unamuonesha vipi mke wako kama unampenda? just grabbing her to the bed or jumping on her... ? do u know the difference btwn fcking and making love? may be u guys just wanna fck all the time... yes we also love to fck:A S shade: but sometimes we wanna make love....

Little gift from time to time or lil kiss or hug:hug: every morning wont harm instead it will create a harmony atmosphere at home....

So I am weak because I want to be loved and cared? If that what u call weakness then I dont mind being weak in front of a crocodile chest... to put it simple I am just a lizard .... frankly I am not interested to be a crocodile...

You want strong women (can u define strong woman first) u wanna us to have muscles?. I dont know how will u enjoy relationship with a muscular woman :target: Good luck my friend...
Reading between your lines if not legs I sense some senses which lead to common sense.
Thanks for the remind. It's not always about fuc..ng but being good friends which means real and great love.
 
kama umeoa na siku moja mkeo anakuambia hawezi kukupa tendo la ndoa kwavile hana uhakika ikiwa unampenda utafanayaje?

pia nini haswa kinachofanya mtu aseme anapenda na ikiwa mahusiano yenu kwa mambo mengine yako sawa yaani hamjawahi kugombana wala nini imefika usiku muheshimiwa unadai chakula cha usiku mkono unatolewa unatupwa huko ukiuliza kulikoni ndio unajiwa kuwa huwezi kupewa chakula cha usiku kwavile huyo mkeo hajui ikiwa unampenda !!!

Ninaamka ninufuta mchepuko na kurudi asubuhi
 
Back
Top Bottom