Kunyimwa tendo la ndoa kunakera sana

Kunyimwa tendo la ndoa kunakera sana

Sasa mkeo anakunyima tendo landoa, unalalama naww unajiota mwanaume ..Nyau kweli!!!.

Uliijua hali aliyoko nayo au akili zako zinawaza chini tuu???
 
Ndo maana tangu enzi na enzi wanaume walioa mke zaidi ya mmoja kiuasilia ke kuliwa kila siku haiwezekani nyie mna nguvu kutuzidi hapa tukubali tu

Mwanaume akiona jicho zuri huyo tyr kitu kimeinuka lkn ni ngumu ke kuona six pack na hapohapo akakojoa ngumu sana


Hahahaa hlf kingine, nadhani wanawake wengi mmeshaona kuwa wanaume tuna njaa sana na hizo papuchi zenu, ndo maana mnazitumia kutu-exploit kapeace
 
Mna bahati mnaambiwa haya bila kufunika wenye kuelewa wachukue wasioelewa waache

Zamani haikuwa rahisi kusema haya kwa hulka hatuwezi kuwaambieni haya live ni ngumu sana lkn mnatubaka sana tu


Haha tatizo lingine ni kuwa wanawake wengi mnaolewa na wanaume mliowapendea pesa, ndo maana sometimes mnabana mzigo kapeace
 
Kwa kweli swala hili linakera sana sana nilitamani kumpiga shoti ya umeme kwenye mapaja angalau mapaja yalegee sema malaika wa bwana akanishauri nisifanye hivyo, ninyi wanawake kwanini mnafanya hivyo?
Pole sana.

Jitahidi kujiepusha na maamuzi magumu kama hayo.
 
Back
Top Bottom