Kunyimana tendo la ndoa katika ndoa, au mahusiano ikiwa inatokea mara kwa mara au bila sababu za msingi, kuna madhara mengi ya kisaikolojia na kimwili kwa pande zote mbili.
Madhara haya yanaweza kuwa na athari kubwa kwa mahusiano na hata kupelekea kuvunjika kwa ndoa au mahusiano hayo
SABABU 10 AMBAZO HUFANYA WANANDOA KUNYIMANA TENDO LA NDOA KWA MAKUSUDI, CHANGAMOTO ZAKE NA MADHARA YAKE
Katika maisha ya ndoa, tendo la ndoa sio tu suala la mwili bali pia ni daraja la ukaribu wa kihisia, kuaminiana, na kuimarisha upendo kati ya wanandoa. Pale ambapo mmoja wa wanandoa anaanza...
Wakuu,
Nilioa na nina miaka 7 kwenye ndoa, na tumejaliwa kupata watoto wawili.
Mke wangu alibadilika kila nikimuomba unyumba ananiambia hataki, nimetumia njia nyingi kumshawishi akubali lakini anasema anaumwa, mara amechoka yani visingizio ni vingi ili mradi tu asifanye na mimi tendo la ndoa...
Mwanangu rapcha umeimba hili goma leo ndo nimejua kuwa wanawake ni watu wa ajabu mno can you imagine leo ni siku ya 11 wife ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi.
Sasa leo nimeamua kuchachamaa bado wife amekaza. Daaah, kiukweli roho imeniuma sana let me summarize:
Mimi: Mama, naomba...
Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta kwanini nimeoa hili kabila ni wababe wababe na majeuri sana aisee
Kila nikirudi kwenye mishe mishe...
Habarini,
Mwezi huu mwanzoni nilienda msibani Singida nikiwa uko nikamaliza kuzika kuna mdada nilikuwa naishi nae Dar akaenda Morogoro kwake kuishi na kutafuta maisha basi ikapita muda mpaka mwezi huu akaniomba niende kwake Moro na tulikuwa na mawasiliano mazuri tangu aondoke Dar sababu alienda...
Nafurahi kufikisha mwaka wa 10 siku ya leo kwenye ndoa. Nilioa kwa vigezo vyote vya dini, yaani ile hakuna ngono kabla ya ndoa.
Ilikuwa ngumu kidogo lakini kwa nguvu ya dini niliweza ingawa mwenzangu sikujua nyendo zake. Na kwa kiasi kikubwa maisha yangu ya ujana sikuruka sana kwa nia njema ya...
1,Kinyaa,mwanamke anajitahidi anampa mmewe penzi lake bila tatizo ila baadae utaona au utasikia anatoka na mwanamke mwingine mchepuko,unawaza yaani hili limwanaume silinyimi kitumbua linaenda huko linachoma huko tena lije kwangu lichome humu na dudu lake lile lile bora angekuwa na madudu...
Unyumba au tendo la ndoa ni kitu cha ajabu sana, unaweza ukapewa sababu kama kudanganywa hivi ili utulie tu, na mwingine akakupa sababu ya kuumwa au kuchoka ukamuelewa sana tu. ila makusudi tu akaamua kukutolea nje huyo ni demu wako, mkewako au awara.
ULIFANYAJE BAADA YA KUNYIMWA
Habari za Pasaka aisee?
Mwenzenu nipo sitting bado natoa macho tu hapa sielewi nikalale au niendelee kuzuga kishikaji. Shemeji yenu kanipiga adhabu ya nguvu ambayo anajua vizuri lazima nitaathirika moja kwa moja.
Inshu iko hivi, nina mke na mtoto moja, nimekuwa kwenye mahusiano na mke wangu...
Hii mada inawahusu wale waliooa au wanaishi na wachumba zao au wanaishi na mpenzi wake au anaishi na mwanamke tu.
Je ni halali kwa mwanamke kubana tendo la ndoa bila sababu na baridi hii kali na mvua inanyesha kali sana? Mwanamke kubana kutoa penzi?
Kwa kweli swala hili linakera sana sana...
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'....
*****************************
Mimi na mke wangu tumekuwa katika ndoa yapata miaka mi 3 sasa! Hali ilikuwa ni nzuri kwani tulikiuwa tunakula tunda kila siku angalau asubuhi kamoja na jioni kabla ya kulala kamoja!
Siku hizi hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.