Tumsifu Yesu Kristo.
Huyu mke wangu kila nikimuomba unyumba atalalamika mara aseme "Baba J" umeanza usumbufu wako.
Mara aseme kachoka, mara aseme yuko Period kumbe sio kweli, mara aseme hajisikii vizuri, mara aseme ana usingizi.
Yaani mimi tendo la ndoa napewa kama hisani wakuu.
Je, na nyie...
SABABU 10 AMBAZO HUFANYA WANANDOA KUNYIMANA TENDO LA NDOA KWA MAKUSUDI, CHANGAMOTO ZAKE NA MADHARA YAKE
Katika maisha ya ndoa, tendo la ndoa sio tu suala la mwili bali pia ni daraja la ukaribu wa kihisia, kuaminiana, na kuimarisha upendo kati ya wanandoa. Pale ambapo mmoja wa wanandoa anaanza...
Hili ni tatizo kubwa sana ila wanaume wengi wamekuwa waoga kuweka wazi, unamkuta jamaa ni pande la jitu lakini room anaenda mwezi hapewi show, kuyaweka mambo haya wazi ni kitu ambacho kwa tamaduni zetu za kiafrika ni stigma, ni sawa na kulalamika mke wako anakupiga, utachekwa.
Lakini ukweli...
Imekuwa too much sasa, mara kwa mara naona wanaume wakilalamika kunyimwa unyumba muda mrefu, pia kumekuwa na ongezeko la ndoa nyingi zenye miaka 5+ kukosa watoto.
Kama ni mwanaume
-Ongeza mke
-Vunja ndoa oa mwengine
Kama ni mwanamke
-Omba talaka uolewe upya
Tuache kujifanya wema kwa unafki...
Nini hasa kimeingilia hapo katikati kwenye mapenzi, kwamba nje ya ndoa hakuna tena uchoyo wala kunyimana suala la mapenzi, unapewa tu kirahisi hata na mwenye ndoa, ila cha kushangaza ndani ya ndoa hata mwenye ndoa mwenyewe ananyimwa na anaweza kupewa kwa mbinde sana au kwa ratiba na masharti...
Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta kwanini nimeoa hili kabila ni wababe wababe na majeuri sana aisee
Kila nikirudi kwenye mishe mishe...
1,Kinyaa,mwanamke anajitahidi anampa mmewe penzi lake bila tatizo ila baadae utaona au utasikia anatoka na mwanamke mwingine mchepuko,unawaza yaani hili limwanaume silinyimi kitumbua linaenda huko linachoma huko tena lije kwangu lichome humu na dudu lake lile lile bora angekuwa na madudu...
Unyumba au tendo la ndoa ni kitu cha ajabu sana, unaweza ukapewa sababu kama kudanganywa hivi ili utulie tu, na mwingine akakupa sababu ya kuumwa au kuchoka ukamuelewa sana tu. ila makusudi tu akaamua kukutolea nje huyo ni demu wako, mkewako au awara.
ULIFANYAJE BAADA YA KUNYIMWA
Habari za Pasaka aisee?
Mwenzenu nipo sitting bado natoa macho tu hapa sielewi nikalale au niendelee kuzuga kishikaji. Shemeji yenu kanipiga adhabu ya nguvu ambayo anajua vizuri lazima nitaathirika moja kwa moja.
Inshu iko hivi, nina mke na mtoto moja, nimekuwa kwenye mahusiano na mke wangu...
Hii mada inawahusu wale waliooa au wanaishi na wachumba zao au wanaishi na mpenzi wake au anaishi na mwanamke tu.
Je ni halali kwa mwanamke kubana tendo la ndoa bila sababu na baridi hii kali na mvua inanyesha kali sana? Mwanamke kubana kutoa penzi?
Kwa kweli swala hili linakera sana sana...
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'....
*****************************
Mimi na mke wangu tumekuwa katika ndoa yapata miaka mi 3 sasa! Hali ilikuwa ni nzuri kwani tulikiuwa tunakula tunda kila siku angalau asubuhi kamoja na jioni kabla ya kulala kamoja!
Siku hizi hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.