Toosie Slide
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 788
- 963
Mzee babaMbona kama sijaelewa mzee wangu!!! Kunyanyasika kuhusu nini mzee baba... Mzee mama???
Hapana mkuu.Kwajinsi ulivyoandika huu uzi ni wazi kuwa unanyanyasika kisaikolojia.
Inabidi upate counselling.
Kweli kabisa mkuuNi hatari bora akupige hadi damu
Wengi wanaojiua kutokana na mapenzi ni kutokana na hii kitu. Alafu jamii yetu hamna elimu ya kisaikolojiaHii kytu ni mbaya sana .Usiombe yakufike, better ugundue mapema upate msaada la sivyo you may die alive
Kama kwenye familia mambo yakiwaga ivo inakuaga mbaya sanamfano; umetumbuliwa na MEKO then mkeo kawa baaunsa ndani ya nyumba inafika point anakurushia hadi pempas za mtoto zilizonyewa uzifue.
Kuna haja kubwa sana ya kuwa na wataalam wa saikolojia na ushauri nasaha katika vituo vyetu hivi vya afyaWengi wanaojiua kutokana na mapenzi ni kutokana na hii kitu. Alafu jamii yetu hamna elimu ya kisaikolojia
Wakikosa msaada wa kutosha ndio unasikia mke na mume mmoja amemuua mwenzakeKama kwenye familia mambo yakiwaga ivo inakuaga mbaya sana
Khaaaa kumfua pampas tenamfano; umetumbuliwa na MEKO then mkeo kawa baaunsa ndani ya nyumba inafika point anakurushia hadi pempas za mtoto zilizonyewa uzifue.
Nimeandika ili kwa wanaojua haya maswala watueleze zaidi, maana ni jambo ambalo silioni likizungumziwa sana mitandaoni.Pole kwa yote funguka vizuri zaidi upate kueleweka.