Kunya ruksa chadema, akinya ccm kaharisha????

PAS

JF-Expert Member
May 3, 2010
454
8
CCM YEYE TWAONA ANA MABAYA TU HANA MAZURI, ILA CHADEMA YEYE NI MAZURI TU,wadau rejeeni post aliyoweka ndugu Ng'wanangwa "VIKUKU BUNGENI",ivi alipoamua kuwaweka hao wanawake hapo ili tuwaone walivojiremba inahusiana na nini kwenye mchango wa mtu bungeni??
mmesahau enzi za CHIKU ABWAO akiwa nccr alivokuwa anajiremba hadi mkorogo juu, na alikuwa anamchango wa hali ya juu sana bungeni na ninamkubali hadi leo pia pangezi kwa huyo mpiganaji kurudi bungeni..ila kwasasa kazeeka ndo maana mwawaona ni waheshima sana..

ivo hao kina vicky nao ni mapito kama aliyopitia CHIKU ABWAO cha msingi tujiulize "je wanamchango gani??" hayo mambo ya vikuku ni udaku tu na mambo binafsi kwani wametembea uchi ukitazama hiyo picha??

Hata halima mdee alikuwa anajiremba kama hao ila mchango wake bungeni na alipotangaza kuwania kawe yule mama RITA MLAKI alifam kabisa kuwa hatapita ivo akakimbilia viti maalum mwaka huu,
tumeuona mchango wa HALIMA hadi sasa tumempa ubunge kawe..

tatizo kuna baadhi ya watu wanaleta post za ajabu ajabu matokeo yake memb wote na wageni wanaotebelea jf wasipokuwa makini wanawauna mkono, hivyo tuwe makini zaidi ya hapa.

Penye mazuri yakiwepo tukubali, na kwenye mabaya ruksa kunena...

[video]https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-...bungeni-2.html[/video]
 
Mbona siwaelewi elewi au mnataka kusema alikaa kimya kipindi chote cha mchakato wa uchaguzi sasa ndo anaibuka
 
Empty content...Zero material!
 
post za kipumbafu sijui elimu zao walisomea wapi??maana hata sie wa UPE tuna afadhali
 
Re: Kunya ruksa chadema, akinya ccm kaharisha????

Conclusion yako ipo sawa "Penye mazuri yakiwepo tukubali, na kwenye mabaya ruksa kunena" Ila maudhui huna...Title imekaa kitaarab sana, kishankupe sana na iwe fundisho kwa wengine ambao wana plan ya kuweka title za ajabu kama zako....
 
re: Kunya ruksa chadema, akinya ccm kaharisha????

conclusion yako ipo sawa "penye mazuri yakiwepo tukubali, na kwenye mabaya ruksa kunena" ila maudhui huna...title imekaa kitaarab sana, kishankupe sana na iwe fundisho kwa wengine ambao wana plan ya kuweka title za ajabu kama zako....

wewe kweli ni muhudhuriaji sana wa taarabu.. Maana wooote wamechangia ila hakuna hata ambae kafanana nawe, vipi wakalia kigogo au magomeni??
Maana umeifungua harak ukijua kuwa umetoka wimbo mpya wa taarabu...

pole dada
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom