Kunya bure hapa.....

Kunya bure hapa.....

Bitoz

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
30,823
Reaction score
126,632
ea55312c10628fefd9f9fbb421b111a8.jpg


Njoo kiaani kwetu ujisaidie kwa raha zako bila kulipia hata thumni.....
 
Huyo mwenye choo atakua na bustani anatafuta mbolea hamna cha bure
 
waweke cha asian type tuone namna wanavyo download.
 
Jf is never boring kwa kweli mi nikitoka nje ya mood au nikikasirishwa na walimwengu huwa naingia Jamii Photos tu basi hata kama nlikuwa na hasira kiasi gani kwa kweli huwa zinaondoka zote aisee.

VIVA JF.
 
Back
Top Bottom