hussein boxer
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 832
- 335
duh
Wengine wakifyatua mambo huwa yanaelea hata umwage maji namna gani huwa haisaidii kitu. Sasa, je huyo bi mdada ndo mlinzi anaedhibiti yamekwenda au la?![]()
Njoo kiaani kwetu ujisaidie kwa raha zako bila kulipia hata thumni.....
Huyo anakula mingo watu wazubae afyatue matofali ya kutoshaWengine wakifyatua mambo huwa yanaelea hata umwage maji namna gani huwa haisaidii kitu. Sasa, je huyo bi mdada ndo mlinzi anaedhibiti yamekwenda au la?
Duhh! Kumbe anazuga.Huyo anakula mingo watu wazubae afyatue matofali ya kutosha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si unajua kumchinja kobe timing!Hapo bonge la soo labda uwe na akili za nyati ndo utakunya