gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
Huwa hata sielewi sababu ni nini but naamini malezi pia yana play role kubwa sana.
Kitu kingine ni peer influence. Mabinti wa Kibongo wana tabia ya kudanganyana sana na ni mashosti wa kinafki.
Unakuta mdada yupo katika situation flani na 'shosti' wake anampa advice as part of trial and error. Ili aone kama ni moto 'shosti' wake ataungua vipi ili nae apate kujifunza?
Kingine ni tamaa na hiki ndo kinawaponza wakanyiwa kila aina ya unyama. Kutaka kuonekana na wao wamo. Magari yamewaponza sana mabinti. Wamefikia kufanya kila aina ya uchafu.
Am telling you ni hatari ukifika point ambayo you look into the mirror and you no longer recognize the person staring back at you.
So touching aisee
U r the definition of a woman not a girl
God bless u