Ila muwe waangalifu sana akina dada, muwe mnakuwa na msimamo..mtu akijahapa anajidai anajua kurafuta maisha .. lkn njia anazopropose zina shortcut nyingi kama za kutumia wanaume kama ngazi huyo hajui kutafuta maisha..hajui hata maana ya kudie trying.. Mtu aje aseme nimesoma, nimefanya biashara nimesimama its okay..lkn sijui kamchina nani, sijui lumtumia mtu kumpeleka oman kimtoroka..hapo hakuna kituu wala hakuna bidii yeyote hapo na hakuna mtu anafanikiwa kwa njia hizo ..so dont buy all rubish
EVERY FORTUNE HAS A BLACK SIDE,!! Hivi wewe unafikiria watu wote fate zao ni sawa? Watu wema ndo wanakufa maskini, wala si uongo!
YOU HAVE TO WORK WITH WHAT LIFE GAVE YOU! Mfano mimi akili sinaaaaaaa! Afu mvivu na mpenda bata, ila nimemanuva manuva nimesoma kwa scholatship mwanzo mwisho, na natafuta tena hapa nimeomba sehemu kibao! Kazi zote nimepewa kishkaji tu! Wale wenye akili vyeti vichafu, wazazi wamesooota kuwalipia mpaka basi, na kazi awape nani? Wanangoja fate yao! Umri unaenda!
Maisha yanabadilika! NIJIFANYE MWEMA, BI MKUBWA WANGU ASOYE NI MI OVERTIME, KUKU, UDALALI, DUKA NA MIZAGA KIBAO KUNILIPIA ADA, THEN. I CALL MYSELF AN ACHIEVER,!! WEMA IS DIRECT PROPOTIONAL TO SELFISHNESS,!! OR I GO TO SPONSOR I TELL A STORY A FALSE STORY OFCOURSE, I LIE, YES I TELL TERIBLE LIES, CRY THEM A RIVER, NAMREMBULIA BOSS WA KAMPUNI ANANIGONVEA MUHURI BACKING MY STORY BOOOOOM,! Mi dollari hio, miaka kadhaaa kapate elimu, hizi zitakusaidia kuishi comfortabliy! Me and my company hope you will use your education as a catalyst of change in your society! Ohhhhhhhh! Machozi pale, GAME OVER!
Namtaarifu bibie bwana nimepata issue flani ya maana, utasikia wachaaaaaaa! Wewe huyo mwanangu mwenyewe! Ooooooooooh! Asante Yesu! Mungu hajatusahau! Nikalipe zaka, nitoe sadaka mie! Jamani mwanangu unajitahidi sanaaaa! Mama yako nimezubaaa ila wewe una fight sanaa! Mungu atakusimamia! Embu nigeee kidogo basi, zote hizo usichezee hela kila siku nakwambia, mtafutie na flani basi! Afu flani anaozea nyumbani fanya manuva, nakuaminia! Hahaaaaaaaa! Kwa raha zetu!