Sijajua unajaribu kusema nini hapa ..ni fursa za aina gani unazosema ladba.. maana kwa mfano rafiki yako angekuwa mtu wa fursa asingepelekwa omani na mwanaume in the first place..kuhogwa sio fursa.. ila kuwa na idea na kuifanyia kazi iwe idea ya biashara au ku-immigrate kwenda kucheki maisha mengine ni fursa na hapo kweli ndo unakuwa unadie trying..ila kutumia papuchi na mwanaume kama ngazi noop..
Brilliant aisee
Acha huyu nungayembe ajione mjanja
kumuita nungayembe sijapenda kwa kwel...flaws and all there's a good side of her
Hahahaaa! Wewe usireason na MACHOKO utajishushia hadhi humu! We huoni watu wanao ongea nae? Check your status mdada, too vivilised for him!kumuita nungayembe sijapenda kwa kwel...flaws and all there's a good side of her
Hahahaaa! Wewe usireason na MACHOKO utajishushia hadhi humu! We huoni watu wanao ongea nae? Check your status mdada, too vivilised for him!
I come to learn kwamba umekuwa katika mazingira ya kuangalia maisha kiajabu ajabu..mm nina dada zangu na shangazi zangu wapo fit sana kiuchumi na kimahusiano na hawajatumia papuchi... Wamejituma tu na kufanya mambo kwa umakini na wametoka kwenye familia za kawaida kabisa..pole sana..!Hahaaaa! Isingekuwa fursa ya papuchi angekuwa anauza maduka ya wahindi kariakoo! FURSA NI FURSA TU, maisha now days yanahitaji iron balls! Ukisubiri fursa safi utasubiri sanaaaa! Unadhani upo kijiweni hio fursa ya nauli ya midollari, documents, pakufikia itakushukia kama mana toka angani? Inabidi utafute na u work with what you have! Mungu yupo atasaidia mbele kwa mbele. Bora ndege mmoja mkononi kuliko 10 shambani.
Wewe lara 1 una nini wewe yaani kufika hapo india na hapo omani unaona mefanyaa kweli..wabongo tuna kaushamba flani hivi cha ajabu sana ... by the way rafiki yako akifika dc antafute tumuoneshe ramaniHahahaaa! Wewe usireason na MACHOKO utajishushia hadhi humu! We huoni watu wanao ongea nae? Check your status mdada, too vivilised for him!
Mimi MACHOKO hata yani quote vipi SINA MDA HUOOOO! Kumjibu mtu lazima awe na status sio hivi hivi niumize bidole hata kama thread yangu! Nina audiance ya kutosha kuhitaji views au comments za *****! Anhanhaaaaaa! Puuuuuuuu!
Main your BRAND dear !!!
Na wewe unajiabisha tu kuassociate na mtu ka huyo.. Simama kwa akili yako na mitazamo yako kama akina karucee kwa nini unapelekwa pelekwa ka bendera au ndo rolemodel wako..?kumuita nungayembe sijapenda kwa kwel...flaws and all there's a good side of her
I come to learn kwamba umekuwa katika mazingira ya kuangalia maisha kiajabu ajabu..mm nina dada zangu na shangazi zangu wapo fit sana kiuchumi na kimahusiano na hawajatumia papuchi... Wamejituma tu na kufanya mambo kwa umakini na wametoka kwenye familia za kawaida kabisa..pole sana..!
Walifunga ndoa au walifakamiana tu. Yesu akirudi wanawake wachache sana watapewa lift.
Eembu mwacheni mtoto wa watu, ITS A FREE COUNTRY AFANYE ANACHOJISIKIA!Na wewe unajiabisha tu kuassociate na mtu ka huyo.. Simama kwa akili yako na mitazamo yako kama akina karucee kwa nini unapelekwa pelekwa ka bendera au ndo rolemodel wako..?
Hahahaaaaa! USILOLIJUA LITAKUSUMBUA SANAAAAA,! Haji Dc anyway, na hata angekuja anajifanya mwarabu siku hizi so wabongo kama MANGE KIMAMBI hana mda nao!Wewe lara 1 una nini wewe yaani kufika hapo india na hapo omani unaona mefanyaa kweli..wabongo tuna kaushamba flani hivi cha ajabu sana ... by the way rafiki yako akifika dc antafute tumuoneshe ramani
Ndo maana nkakwambia yaani uwezo wako wa kuangalia maisha upo kiupande upande sana.. Alafu umejaza matheory mengi kichwani ..why mention bakhesa..?!!!!.. Who told u such a guy is welthier..may be he is rich..Kuwa fit kiuchumi ni highly perceptional! Mtaani hata ukiwepo kwenye ramani kurithi kibanda cha mzee wako kino pale uko fit kiuchumi coz value yake si chini ya 200m. Watu wanangoja kurithi. Au ukiwa na kibanda bunju baaas wewe pedesheeeee!
Wakati wengine hata bakhreaa hana kitu. Anajitahidi tu!
Mmmmmmh! Okay! Interesting development. Kwa hio bongo hapa nani kwako ni WEALTHY? Labda ukinitajia tutakuwa on the same page. Tuanzie hapo! Mimi kichwani sina theory kabisaaa jst experience!Ndo maana nkakwambia yaani uwezo wako wa kuangalia maisha upo kiupande upande sana.. Alafu umejaza matheory mengi kichwani ..why mention bakhesa..?!!!!.. Who told u such a guy is welthier..may be he is rich..
Hahahaaaaaa! badiebey UMEJUUUUUUUUUUUUTA KUNIFAHAMU!! Hahahaaa! Kama nakuona unavopenda kuwa mwema pande zote, leo imekucost kuonekana mwanafunzi wa Lara 1, hahahaa! You were just being nice katika harakati zako za kuwa piece keeper! Pole mwaya!
Mmmmmmh! Okay! Interesting development. Kwa hio bongo hapa nani kwako ni WEALTHY? Labda ukinitajia tutakuwa on the same page. Tuanzie hapo! Mimi kichwani sina theory kabisaaa jst experience!