Kunya Anye kuku akinya bata kaharisha! msaada tupewe wanawake tu! kutoa issue!

Kunya Anye kuku akinya bata kaharisha! msaada tupewe wanawake tu! kutoa issue!

sijui niwaelezeeje ili muelewe...
Mana naona nishaeleze vya kutosha...my position is in the MIDDLE...hehhe,hapo je

No either way u choose I have yo respect mama
Because at the end of the day u can have a taste of UA own medicine n that's gud
Being afighter is gud and of oz is what Avery man need from his woman but crossing a linen in the name of being a fighter?that's insane
Anyway I suppose to respect the either choice u make
 
Hakuna aliyepinga kujaribu maisha ts obvious bila kujaribu hatuwez kupiga hatua
Jaribu maisha
Be a fighter
Show mercy in life but at the end of the day u can't just left a family/mume/Mke for so called hustle that's insane
WHR is yo loyalty?
U need money u need to be rich that's fine and of oz everyone need but what else donu need than a happy family?

Cum on don't tell hukuna wanaume Hapa dar wanasaka maisha na wake Zao wapo vijiji

My point ni maagano tu ya mke na mume
Angekuwa mwanaume ndo anataka aende Us kutafuta life every one here angesema fny ila mwanamke nooo
 
Kamuzora haibii serekali..hilo tutaingana usiku kucha..na i know those people ndo maana nkakutolea mfano...lkn unajua maana ya mtu kuwa hela inayoendana na maisha mazuri yenye mpangilio... Na mtu kuwa na hela nyingi bila maisha mazuri yenye mpangilio..?!

We jamaa unajielewa sana aiseee
 
Ujiangalie watu unaoongea nao! Utajishushia hadhi sasa hivi! BE A LADY BE SELECTIVE,!

Heheheh unajiona una hadhi mwenyewe heheheh
Always wasiojielewa hua Wa kwanza kuvimba vifua kama bata mzinga thats how u r "nungayembe ww"
 
Cum on don't tell hukuna wanaume Hapa dar wanasaka maisha na wake Zao wapo vijiji

My point ni maagano tu ya mke na mume
Angekuwa mwanaume ndo anataka aende Us kutafuta life every one here angesema fny ila mwanamke nooo

Nakuunga mkono kitu kimoja"maagano"
Wanaume wengi tu wapo dar na nje pia wakitafuta life but t doesn't mean kwamba walitoroka ndoa na familia Zao kuja dar
2nd to me hata angekua mwanaume mwanzangu ndo anataka kufanya ulimbukeni kama anaosupport huyu nungayembe ningemuon hazimo pia
I mean what the point if having a lot of money but not a happy family?umemtafutia nani hzo "mahela"?
Camoon guys y do we date
Y do we marry
Y do we wish ton have kids
If u dont do it (fight lifr) for a family what else do u do it for?
 
maybe now u understand why am in the middle..
 
Sometimes hiv vitu it depends on how u play huyo dada afanye kila analoweza aende us na kuhusu ndoa km ni mwanamke mwaminifu kwa mumewe amwambie tu atamkubalia so atakuwa hajaloose
 
tuache wivu jmn,au hady utumiwe picha ya graduation na vyeti ndo utaamini anayo?

Wivu masters?
Hehehehrhe angekua nayo angeona kawaida mama hauhitaj kua na degree ya saikolojia kujua kwamba "wasiojua hutunisha bifua kama bata mzinga"
Besides kila MTU akitaja alichonacho atajiona mavi huyu
On top of that anayo au hana who cares?tatizo anajishembedua sana kama kakanyaga mavi bana
 
Real Women, Women of substance are becoming fewer each day.

They are being replaced by these cold hearted lustful and naive little monkeys who think life revolves around the axis of material gains earned by whoring.

Japokuwa umeandika kikoloni ambacho wachache watang'amua lakini ndio ukweli wake. Huwa sipati picha kama wanawake wangekuwa wanasomesha wanaume aafu wanakimbiwa! Maana ile kumgegeda tuu na kumuacha ni balaaa!
 
Wivu masters?
Hehehehrhe angekua nayo angeona kawaida mama hauhitaj kua na degree ya saikolojia kujua kwamba "wasiojua hutunisha bifua kama bata mzinga"
Besides kila MTU akitaja alichonacho atajiona mavi huyu
On top of that anayo au hana who cares?tatizo anajishembedua sana kama kakanyaga mavi bana

hehehe ngoja aje...
 
Sometimes hiv vitu it depends on how u play huyo dada afanye kila analoweza aende us na kuhusu ndoa km ni mwanamke mwaminifu kwa mumewe amwambie tu atamkubalia so atakuwa hajaloose
Mwanaume hawezi coz kesharidhika, ataona Us ni unecessary!
 
Sometimes hiv vitu it depends on how u play huyo dada afanye kila analoweza aende us na kuhusu ndoa km ni mwanamke mwaminifu kwa mumewe amwambie tu atamkubalia so atakuwa hajaloose

That's WHR the problem comes
Kama kweli ni mwaminifu anaogopa nn kuongea na mumewe mbn aliishi bongo miaka kadhaa wakiwa mbali?
Aseme tu ni danguro Moja na #lara1 basi tuelewe kwamba us anafuata nn
Masuala ya kudanganyana na kuzigia kazi sijui international experience sijui ndo hatutaki
Kwani akienda us ndo atakua CEO?
Aende zake huko
 
Hahaaaa! Kamuzora ndo worse ANATUIBIA WAGONJWA NA INSURANCE COMPANIES! Bora hata uiibie sirikali sio mnyonge mnyongeni pesa mbele bila hivo kafie mbele!

Maisha mazuri ni highly Circumstancial! Na yanategemea mambo mengi! Kwa sie wa uswaa ukipata gahawa na gashata ukaoa wake wengi mambo byeeee kabisaa, yunakuheshimu, ila nyie makafiri wakoloni mambo leo maisha mazuri, muwe na mijimba 20, muhamia kwa Obama, wanane wasome huko, mtibiwe huko, na kunywa kharamu pombe zenu, na kharamu ile mwaita pork ribs, na kharamu caviar! We will never respect you. Botyom line maisha mazuri yanategemea mtazamaji na angle anayotumia kutizama!
Alafu kumbe wewe ustadha bana..mtoto wa kiislam mashallah..tulia uolewe ufanye maisha bana..!!!
 
Back
Top Bottom