Kunya anye bata akinya kuku sasa, ya Mbagala na diwani wao

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,204
5,704
Naona live star tv wanarusha mkutano wa manji live kutoka mbagala kuwashukuru wananchi.

Hapa ndipo utajua kunya anye kuku....mbona Chadema walizuiliwa kushukuru wananchi?
 
Mmeambiwa wale waioshinda tu ndio wanaruhusiwa kushukuru walioshindwa wasiende .. Umeshashindwa ukashkuru nini tena? Ni kuleta fujo tu
 
Naona live star tv wanarusha mkutano wa manji live kutoka mbagala kuwashukuru wananchi.

Hapa ndipo utajua kunya anye kuku....mbona Chadema walizuiliwa kushukuru wananchi?
Uwe unafanya utafiti wewe simblis, huku Iringa leo hii chadema chini ya mbunge Msigwa wamefanya mkutano mkubwa wa kuwashukuru wananchi kwa kumchagua.

Mkutano ulifanyika Viwanja vya mwembetogwa.
Bavicha msipende kulalamika lalamika.
 
Manji anashukuru kwa ushindi,Muheshimiwa waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowasa hana sababu ya kushukuru.
 
Uwe unafanya utafiti wewe simblis, huku Iringa leo hii chadema chini ya mbunge Msigwa wamefanya mkutano mkubwa wa kuwashukuru wananchi kwa kumchagua.

Mkutano ulifanyika Viwanja vya mwembetogwa.
Bavicha msipende kulalamika lalamika.
KWan ulikuwa na ulazima wa kutukana? Nikifungulia na mimi inadhani atabaki mtu hapa? Anyway nilishavuka foolish age a decade ago
 
Back
Top Bottom