Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,710
- 10,234
Wakuu na mpango was kununua simu tajwa ikiwa na Ram ya 4 na Rom 128Gb kwa 350k
Hivyo bas kama kuna yeyote mwenye uzoefu na hizi simu naomba ushauri
Pia kwa yeyote anayejua, simu nzuri zaidi ya, hii kwa bajeti hio naomba, ashee hapa
NB. Nataka simu mupyaaaa