Kununua ndege by cash vs mikopo ya wanafunzi


K

Kigodoro

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Messages
1,645
Points
2,000
K

Kigodoro

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2014
1,645 2,000
Kama akina prof Mukandara bado wanaongezewa mwaka baada ya kustaafu, hv ww mtoto wa mkulima wa korosho unasoma ili ukaajiriwe wapi? Wapo Wengi Wa Aina Hiyo.

Kusoma hadi chuo kikuu nchi hii ni kuusaka uzee wenye shida, kwasbb utapata kuwajua wapiga dili nawe hutapiga dili utabaki kulalama jf na kufa mapema bure.
 
Majighu2015

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
2,851
Points
2,000
Majighu2015

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
2,851 2,000
Bora hata anayenunua ndege kuliko aliyejiuzia mgodi wa kiwira coal mine, allluza NBC na kuuza kila kitu, kisha akaja sharobaro, a.k.a Johnnie Walker a.k.a Mtembezi, huyu akamaliza pato LA Taifa kwa kupiga tour zisizo na miguu wala kichwa, kwa namna MOJA biashara zote haramu zilishamiri kipindi chake.
Mataputapu ana mapungufu yake yatokanayo na muundo wa kichwa chake, ila matokeo tunayaona.
Hapo kwenye bold.Kwani muundo wa kichwa cha Mataputapu ukoje??Hahahaaaaaa
 

Forum statistics

Threads 1,283,883
Members 493,855
Posts 30,804,489
Top