Kununua ndege by cash vs mikopo ya wanafunzi

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,856
2,000
Naelewa juhudi za serikali zinazoendelea kuboresha shirika letu la ndege na mambo mengine. Kuna order ya ndege mpya imeshafanyika na advance imelipwa. Najaribu kuwaza tu kati ya kuwapa mikopo vijana wetu walio chuo kikuu na kununu ndege mpya by cash kipi ni bora zaidi? Sasa hivi eti mikopo inagawiwa kwa wale wanafunzi wanaofaulu vizuri,ufaulu na hali ya mtu vina uhusiano gani? Naona serikali inakimbia jukumu lake hapa na sioni kama kuna umuhimu wa kununua hizo ndege kwa cash kama vijana wetu wanashindwa kupata elimu.
Namshauri Rais na timu yake waliangalie hili kwa mapana yake.
 
laki si pesa.

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
10,023
2,000
Bora kununua ndege zitaleta watalii na kutuingizia pesa za kigeni, Wanafunzi wakipewa mikopo wananywea pombe na kuendea club
 
Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,856
2,000
Bora kununua ndege zitaleta watalii na kutuingizia pesa za kigeni, Wanafunzi wakipewa mikopo wananywea pombe na kuendea club
Wewe unazungumzia 0.1% na unaacha 99.99%. Kuna watu wana shida na hawajapata mikopo mkuu. Utakua huna ndugu au jamaa wenye shida ndo maana haikuumi
 
tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
5,823
2,000
Ikiwa tuliridhika na wajenga barabara wa kichina kila mwaka zifanyiwe ukarabati. Na kuwaacha waJapan kama Kojifa wenye barabara imara. Wakati huyu jamaa alipokuwa ndio waziri wake, hata sasahivi usitegemee maendeleo imara kutokana na mwenzetu kishazowea bidhaa fake. Hata hizo ndege sijui zina uimara gani. Jenifa anapelekwa ulaya kusoma baada ya kufail UDSM.

Ndukiiiii
 
Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,856
2,000
Ikifika 2019 atatoa mikopo kwa wote na atajifanya yuko karibu na matatizo ya wananchi na mazuzu yatashangilia.

IQ yetu iko chini sana!
Yan mkuu ni kama tumelogwa vile..Watu wanalia saivi ikifika 2019 wanapigwa sound na wanapiga kura kule kule walipokua wanalalama.
 
supermarket

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
7,283
2,000
Ikifika 2019 atatoa mikopo kwa wote na atajifanya yuko karibu na matatizo ya wananchi na mazuzu yatashangilia.

IQ yetu iko chini sana!
Upo sahihi mkuu.
Matatizo mengi yanatatuliwa karibu na uchaguzi kwa pesa yoyote ile viongozi wapo tayari.
 
Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,856
2,000
Manyumbu mengine bwana, ndege ya dar-kigoma inaleta watalii wa wapi sasa
Hapo sasa..Kuna watu wanawaza ndani ya box tu na hao tunao wengi sana. Mkuu hembu fikiria wanataka wajenge uwanja wa ndege Geita,kuna ulazima gani wa kufanya hivyo saivi?
 
Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,645
2,000
Wanafunzi wanaostahili kupewa mikopo wote wamepata mikopo. Serikali imezingatia ufaulu, vipaumbele na uwezo wa kiuchumi.

Kwanza hakuna haja sana ya kupoteza fedha nyingi sana kusomesha wanafunzi wengi vyuo vikuu, hawana tija yoyote. Wakimaliza badala ya kuwa baraka hugeuka kero mitaani na kwa serikali. Ndiyo wanao piga kelele za kukosa ajira.

Kama F4 & 6 wanalilia ajira na msomi wa chuo kikuu analilia ajira nn tofauti yao.

Muacheni Rais Anunue Ndege.
 
Mkuu unakua kama hauko TZ vile..Tatizo sio kujiajiri,tatizo ni kukosa capital. Vijana wanahangaika angalau wapate ajira halafu watafute capital waanzishe biashara zao. Serikalini kuna ajira kibao ila watu wameziminya tu sijui wanawawekea akina nani
 
Eudorite

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,138
2,000
Naelewa juhudi za serikali zinazoendelea kuboresha shirika letu la ndege na mambo mengine. Kuna order ya ndege mpya imeshafanyika na advance imelipwa. Najaribu kuwaza tu kati ya kuwapa mikopo vijana wetu walio chuo kikuu na kununu ndege mpya by cash kipi ni bora zaidi? Sasa hivi eti mikopo inagawiwa kwa wale wanafunzi wanaofaulu vizuri,ufaulu na hali ya mtu vina uhusiano gani? Naona serikali inakimbia jukumu lake hapa na sioni kama kuna umuhimu wa kununua hizo ndege kwa cash kama vijana wetu wanashindwa kupata elimu.
Namshauri Rais na timu yake waliangalie hili kwa mapana yake.
Umewahi jiuliza swali hili. LINI SERIKALI ILISOMESHA WANAFUNZI WOTE WALIOFAULU TANGU ENZI ZA MWALIMU AMBAZO HAZIKUWA NA MIKOPO?

Siku zote serikali inaweka vigezo vya kuwasomesha raia. Hata enzi za Nyerere si wote waliofaulu walisomeshwa.

Kila utawala unakuja na vipaumbele vyake kwa kila sekta. Kila utawala unaweka vigezo vya kutimiza ili upewe mkopo au tiba.
 
Eudorite

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,138
2,000
Ikiwa tuliridhika na wajenga barabara wa kichina kila mwaka zifanyiwe ukarabati. Na kuwaacha waJapan kama Kojifa wenye barabara imara. Wakati huyu jamaa alipokuwa ndio waziri wake, hata sasahivi usitegemee maendeleo imara kutokana na mwenzetu kishazowea bidhaa fake. Hata hizo ndege sijui zina uimara gani. Jenifa anapelekwa ulaya kusoma baada ya kufail UDSM.

Ndukiiiii
Labda umesha pitia ilani ya uchaguzi iliyompeleka Magohoni. Elimu ni kipaumbele namba ngapi?

Mwacheni atekeleza yaliyompeleka ikulu.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
48,761
2,000
Bora hata anayenunua ndege kuliko aliyejiuzia mgodi wa kiwira coal mine, allluza NBC na kuuza kila kitu, kisha akaja sharobaro, a.k.a Johnnie Walker a.k.a Mtembezi, huyu akamaliza pato LA Taifa kwa kupiga tour zisizo na miguu wala kichwa, kwa namna MOJA biashara zote haramu zilishamiri kipindi chake.
Mataputapu ana mapungufu yake yatokanayo na muundo wa kichwa chake, ila matokeo tunayaona.
 
Top Bottom