Kununua magari kupitia Alibaba.com

Kununua magari kupitia Alibaba.com

len

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
209
Reaction score
132
Wakuu habari za jioni. Nimepitia alibaba.com nimeona kuna magari watu wanauza humo, yanaonekana ni mazuri sana na bei zao ni nzuri. Niliyoyaona humo yanauzwa kutoka China.

angalia kwa mfano hii Rav4: https://www.alibaba.com/product-det...&ckvia=share_b65d94d49ece44998a8f6598d00b5d24

Kuna mtu ana uzoefu wa kununua magari kupitia alibaba.com? Tushirikishe uzoefu wako kuhusu ubora wa magari, gharama za usafirishaji, clearance na chochote kile kinachoweza kutusaidia. Natanguliza shukrani.
 
Siyo rahisi, sema ni mazuri. Dola 4000 Hadi uliweke ndani ni Dola 10000.
Sasa urahisi uko wapi? Au ulifikiri hiyo Dola 3999 ni Bei ya nyumbani?
 
Utapigwa, hugo seller si gold member wala hana Trade assurance, pia inaonekana yupo Kenya!! 😅

Usijaribu kununua kitu alibaba bila hivyo vitu viwili kuwepo.

Pia ingia youtube search kuhusu kununua magari ya kichina Alibaba uone vichekesho vinavyokuja.

Unaweza ukanunua na kuletewa kigari kidogo cha ajabu huwezi kuona. USINUNUE GARI ALIBABA!!!

Huyo seller wako hapo juu 99% ni scammer
 
Muuzaji ni mmiliki wa LTEREGEE HARDWARE BUSIA, KENYA😅
 
Utapigwa, hugo seller si gold member wala hana Trade assurance, pia inaonekana yupo Kenya!! 😅

Usijaribu kununua kitu alibaba bila hivyo vitu viwili kuwepo.

Pia ingia youtube search kuhusu kununua magari ya kichina Alibaba uone vichekesho vinavyokuja.

Unaweza ukanunua na kuletewa kigari kidogo cha ajabu huwezi kuona. USINUNUE GARI ALIBABA!!!

Huyo seller wako hapo juu 99% ni scammer
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom