- Nini cha kuzingatia ukitaka kununua gari kwa mtu (used)?Nataka kununua gari used kutoka kwa dalali.
kila la kheri
weka aina ya gari, mwaka na details zake zote ili wadau wakusaidie kukuchambulia nini muhimu chakuangalia kwenye hiyo gari katika hizo details.Habarini wakuu,
Nataka kununua gari used kutoka kwa dalali. Ni vitu gani kuwa navyo makini nisije pigwa? (Niko based Arusha)
Na nyie mtampigaKila la heri mkuu uwe makini tu hata fundi wako anaweza kukuzunguka ukauziwa mbuche.
Kwa arusha nna ndugu yangu anauza magari ukihitaji nitakupa namba.
Tutampigaje mkuu?Na nyie mtampiga
Haji manara kumbe mna magariKila la heri mkuu uwe makini tu hata fundi wako anaweza kukuzunguka ukauziwa mbuche.
Kwa arusha nna ndugu yangu anauza magari ukihitaji nitakupa namba.
kibwenaHaji manara kumbe mna magari
Kobisi weekibwena
Nunua gariKobisi wee
Nah I'm good, I would prefer a business kwa Sasa.Nunua gari