Kununua gari kutoka Zanzibar!

Kununua gari kutoka Zanzibar!

kedekede

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
5,337
Reaction score
7,755
Wakuu nawasalimu,
Naomba kujuzwa tu mwenzenu maana elimu yangu ndogo,ukinunua gari zanzibar lenye plate number za kule ukifika nalo Tanganyika bandarini kuna ushuru tena?je nikilileta nikitaka kubadili plate number ziwe za bara itanigharimu nini?na je naruhusiwa kulitumia na namba hizo hizo bila adha na gharama yoyote?
Natanguliza shukurani!
 
Ushuru uko pale pale na utatakiwa kuisajiri upya, hutakiwi kuendesha gari yenye number plate ya Z Tanganyika, utapigwa faini ya ku-brush.
 
hizo ni nchi mbili tofauti hivyo ukinunua gari zenji hakuna tofauti na kununua gari mombasa jipange kwa kodi na vijiusumbufu vingine. so sad
 
hizo ni nchi mbili tofauti hivyo ukinunua gari zenji hakuna tofauti na kununua gari mombasa jipange kwa kodi na vijiusumbufu vingine. so sad
Ni nchi mbili sielewi hapo,nchi mbili zilizoungana na kuwa moja!zanzibar na tanganyika?
 
hizo ni nchi mbili tofauti hivyo ukinunua gari zenji hakuna tofauti na kununua gari mombasa jipange kwa kodi na vijiusumbufu vingine. so sad
Asante mkuu kwa jibu.
 
Back
Top Bottom