J julisa JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 209 Reaction score 50 Sep 15, 2012 #1 Habari wanajf. Nauliwa wapi naweza kununua decoder za ting? Maajent wake wanapatikana wapi na kama kuna mtu ana namba naomba
Habari wanajf. Nauliwa wapi naweza kununua decoder za ting? Maajent wake wanapatikana wapi na kama kuna mtu ana namba naomba
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,645 Reaction score 7,123 Sep 15, 2012 #2 Hivi hawa Ting bado wapo?kama walifungiwa vile!ngoja waje wadau watujuze
J julisa JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 209 Reaction score 50 Sep 16, 2012 Thread starter #3 Eehe ni decoder za ATN
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 61,077 Reaction score 90,398 Sep 16, 2012 #4 Wekeni Namba hawa StarTimes ni Maboya tu!