Kununua Collabo Ni Shortcut Ya Kwenda Kimataifa!?

Kununua Collabo Ni Shortcut Ya Kwenda Kimataifa!?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,956
Reaction score
9,454
Ninauliza hili kwa kuangalia muziki hasa wa hao waNigeria tunaowakodi wao waliunyanyua muziki wao wenyewe mfano tangu enzi za kina Fela Kuti mpaka vijana wa sasa. Hii trend ya kuwatumia naona ni njia ya mkato ambayo haitaweza kuusaidia muziki zaidi ya msanii binafsi. La maana ni kufanya muziki mzuri utakaojitangaza wenyewe sio mpaka ubebwe na vionjo vya wengine!
 
Back
Top Bottom