Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Mkuu ilo swala noma kuna jamaa huwa hatumruhusu kuvua viatu akianza kuingia ndani ni bora aingie navyo,akivua mnatafuta mengine na kama unakifua kibovu unaumwa.
 
sallute wakuu...naomben msaada wenu nina kijana wa age 21yrs ana tatizo la kunuka miguu..yaan akivua viatu hapo ndan hakukaliki, miguu anaosha vizur na kabla ya kuvaa viatu hua anaikausha vizuri tu. je tatizo labda ni nini na dawa yake ni nini,,,msaada mwenye kujua
Hakuna dawa ya kunuka miguu hapa duniani
Fanya hivi mnunulie viatu vya kutosha sio pare moja
Awe na soaks kama pair 3
Hatonuka miguu
 
Hakuna dawa ya kunuka miguu hapa duniani
Fanya hivi mnunulie viatu vya kutosha sio pare moja
Awe na soaks kama pair 3
Hatonuka miguu
Asante kiongoz ingawa viatu anavyo pair 4..pair 4 kwa mwanaume ni viatu vingi sana mimi binafs nina pair 2 tu na sinuk miguu
 
kwanza avae soks za cotton ziwe nzito, halafu anunue poda kabla hajavaa ajipake miguuni, kuna poda ya fangas
 
Mkuu huyo kijana huwenda haoshi vizuri hiyo miguu ananawa juu juu tu ndio maana hiyo hari haiishi,jambo la kufanya ni
*kunawa miguu vizuri hasa katikati ya vidole na unyayo
*kukausha miguu vizuri hasa katikati ya vidole na kupaka mafuta
*ajitahidi kuvaa soksi safi na viatu visafi au apendelee kuvaa viati vya wazi.
Akifata hivyo mambo yatakaa sawa.
 
Usafi..afue viatu vyake na awe anabadilisha soksi zaidi ya mara tatu au nne kwa siku..ndani ya wiki atakuwa poa..
 
Nawa miguu then wakati was kulala chukua chumvi upake kwenye maeneo ya vidole.
 
Aoshe miguu yake na aikaushe iwe mikavu.

Awe anavaa viatu vyenye kupitisha hewa ili kuepuka unyevu kubaki ndani kutokana na joto.

Awe anabadili viatu na soksi mara kwa mara
 
Back
Top Bottom