Japo ni ugonjwa na unatibika lakini huleta karaha mno kwa wapenzi na hii husababisha watu kutojiamini
Kuna mahusiano yamevunjika kutokana na hili jambo ,mpenzi anataka akuchum lakini akikukaribia tu anakutana na harufu kali anajikuta anakwepesha mdomo na hamu yote inaisha inakera kwakweli
Kama una tatizo hili ni vema ukawahi tiba maana hata kwa watu wengine utakosa raha na amani utataka kuongea kitu lakini ukikumbuka mdomo wako ghafla unasita lakini vilevile wengine wakikuona tu unataka kuongea wanageuza nyuso zao na wengine kuziba pua
Unabaki mkiwa na mpweke inaumiza sana
Pole kwa kumpata mwenye hali hiyo..............
Wahaya wengi wana huo ugonjwa
Wahaya wengi wana huo ugonjwa
sasa jaman lazima mjue kuwa watu wa namna hii wanahitaji msaada wetu na si kuwasema pembeni!
Mi niko na mpenzi ila hapo mwanzo alitema vibaya.....sio kwamba wanapenda ila wengi wanakuwa hawajijui kama wanaharufu mbaya ya mdomo, ni sawa na mtu aliyeko chooni huwa anahisi choo hakinuk.........kinachotakiwa ni kuwa wazi kwake na kumpa mbinu za kulitokomeza hilo tatizo!
vizuri majigo ila kuna watu wengine wamejitakia unakuta demu katoka kimanzichana bondeni katembea kapanda daladala kashuka kituoni katembea mpaka geto kwako akifika tu unajifanya kuzama chumvini ...!!?
labda wapenzi hawapigi mswaki....?
hahahahah ila uzamiaji kiholela nao unachangia vijana wengi wa sasa kuwa na fangasi ya mdomo!
hilo ni tatizo.....mswaki wanapiga , tena mara tatu kwa siku ila wengi hatujui mbinu za upigaji mswaki....wengi tunasugua meno na si kinywa!!