Kuni zinauzwa kwa Jumla

Kuni zinauzwa kwa Jumla

ROKY

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Posts
182
Reaction score
70
Hi wana JF wote,
Natafuta watu wa kununua kuni za jumla.
Nina shamba jipya nalisafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni.
Eneo lilipo shamba hilo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa 100 toka DSM.
Bei ya kuni ni maelewano tu na wanunuzi.

Wana JF naomba mnipe contacts za wanunuzi watakaonunua kuni hizo kwa jumla.

Pia mnaweza kuwasiliana na mimi kwa:-
0754-310981 (voda)
0789-310981 (airtel)
0658-310981 (tigo).


Thanks in advance.
 
Back
Top Bottom