Samantha Lewthwaite
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 298
- 731
Itakuwa wanaashiiria nvua
Kwaaaaaaaaaaaa kwaaaaaaaaa😂😂😂😂😂🏃🏽♂️🏃🏽♂️"Fukuza kunguru" 🤣🤣
Kabla ya natural disasters hio hutokea.Muda huu usiku wa saa tisa nasikia huko nje kunguru wanalia na wamepita kama wanaelekea sehemu.
Je kuna disaster yeyote au hali hii inaashiria nini?