Wapi huko?Mbona wanaliwa. Si huku tunakula sana tu sema hawana damu hafu nyama yao ngumu sana.
Kunguru wanaliwaaa?Mbona wanaliwa. Si huku tunakula sana tu sema hawana damu hafu nyama yao ngumu sana.
Ni kweli,kama sasa hivi wamefika Pwani na Morogoro,na wakiingia tu wale kunguru native wenye alama nyeupe kifuani wanawakimbia maana pamoja na wao kuwa na umbo kubwa hawa weusi wanashambulia mayai na makinda yao. Ni tatizo sanaHao Kunguru Wamefika Mikoani Sasa Hivi
😳😳Mbona wanaliwa. Si huku tunakula sana tu sema hawana damu hafu nyama yao ngumu sana.
Maliasili kuna kurugenzi ya kuwadhibiti hao Kunguru na Mkurugenzi wake alikuwa Bw. Linus Chuwa, sina hakika kama bado yupo kwenye hiyo idara ..tambua kwamba kuna nyakati wanapoteaga hao..kutokana na wizara kuweka sumu za kuwadhibiti! Kimsingi kunguru ni " Uchafu"Salaam wakuu, hawa kunguru Dar wamekuwa sio tishio kwa viumbe wengine kama ndege n.k kwa kula mayai na vifaranga vyao, lakini pia wanasumbua binadamu kwa kelele, uchafu, kula mifugo yao kama vifaranga vya kuku...
[emoji23][emoji23] nimeshuhudia kwa macho yangu mtu akichoma na kumla kunguru hapa hapa Dsm! Ni kweli hawana damu ila wana tone jekundu kwenye kifua/ kidali na nyama yao ni nyeupee!Mbona wanaliwa. Si huku tunakula sana tu sema hawana damu hafu nyama yao ngumu sana.
Jiji kunuka.Dar jiji chafu sana harufu Kila Kona😬🚮
Aisee muda wote ulikua anafatilia hayo mapishi ya kunguru hukuonja kweli?[emoji23][emoji23] nimeshuhudia kwa macho yangu mtu akichoma na kumla kunguru hapa hapa Dsm! Ni kweli hawana damu ila wana tone jekundu kwenye kifua/ kidali na nyama yao ni nyeupee!