Salaam wakuu, hawa kunguru Dar wamekuwa sio tishio kwa viumbe wengine kama ndege n.k kwa kula mayai na vifaranga vyao, lakini pia wanasumbua binadamu kwa kelele, uchafu, kula mifugo yao kama vifaranga vya kuku, watu wa mazingira, ecosystem mko wapi jamani?
Binafsi nimejaribu kila sumu hawafi, mitego hawashikwi, msaada please!
Naomba kuwasilisha.
Binafsi nimejaribu kila sumu hawafi, mitego hawashikwi, msaada please!
Naomba kuwasilisha.