Kunguru hawa waletwe Dar

Kunguru hawa waletwe Dar

Kunguru kuwa trained inawezekana wadau, mie binafsi nishaona trained kunguru kwenye documentary fulani sikumbuki ni station gani, alifunngwa kwenye cage na alifundishwa kufungua mlango wa cage, kwenda kula then kurudi kwenye cage yake na kisha kurudishia mlango,vyote alifanya kwa kutumia mdomo wake, NILISHANGAA SANA, nikajisemea kwamba kumbe inawezekana

Ni kweli mkuu,kunguru ni miongoni mwa ndege wenye akili sana na wajanja balaa
 
Back
Top Bottom