Kunguru hafugiki?

Hivi hawa Kunguru wa India aliowaleta mwinyi Zanzibar, kwa nini hakuna mkakati wa kuwauwa? Wameharibu sana ecosystem ya ndege wetu asili.
 
Mwaka Hulu patasemwa sana ila sijui itakuwaje ikitokea kuwa kinyume na yanayosemwa. Hao wahenga pia walisema "waache waseme, wakichoka watalala". Ndo maana kunguru akawa hafugiki. Nikumbushe tu, kunguru huyo anasema "binadamu si mwema", hivyo huwa hamsogelei bali anamkimbia.
 
Hivi hawa Kunguru wa India aliowaleta mwinyi Zanzibar, kwa nini hakuna mkakati wa kuwauwa? Wameharibu sana ecosystem ya ndege wetu asili.

kwa nini kuwauwa? ndiyo hapo unaona kwamba tanzagiza hakuna intelligence au hatufwati meritocracy labda niseme hivyo, hakuna haja za kuwauwa bali unaweza tu kufanya population control ya kunguru kwa mfano unaweza kujaribu kupunguza idadi yao, na hilo ni rahisi sana kulifanya, unaondoa mayai yao kwenye viota vyao, wakitaga tu unayaondoa hivyo hawataweza kutamia jambo litakalopelekea population yao kupungua hadi idadi ambayo ni stahili, hivyo unaweza au binadamu anaweza kuamua ni kunguru wangapi waishi ambao hawataleta usumbufu.

tanzagiza kila kitu ni ubabe tu kama porini masokwe wanavyoishi, aliyekuzidi miguvu na mkubwa kukuliko anakupiga na kuchukua ulichonacho, jiulize kwa nini mwanajeshi anapiga raia au kuwarusha kichura? ni kwa sababu tu kawazidi nguvu na ukubwa wa mwili, ubabe ...
 
Hivi hawa Kunguru wa India aliowaleta mwinyi Zanzibar, kwa nini hakuna mkakati wa kuwauwa? Wameharibu sana ecosystem ya ndege wetu asili.
Mwinyi hahusiki na kuleta kunguru. Huenda umesahau au unajitia hamnazo. Mhusika ni yule MABIBO kutoka Mabibo ya Tangawizi.
 
If wishes were horses, beggars would ride.

Goooo Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, gooooooooooo! Endelea kuwachanganya hawa nyumbu mpaka waje na threads zinazozuhusu madeni ya vikoba vyao.
 
Hiyo Nyani Imevuka Maji Kutoka Kizimkazi Au Ni Ya Tanganyika ?
 
Habitat yao siyo Afrika Mashariki hivyo hawana njia ya asili ya kuwa control, mfano kuwa na preditor au season inayowazuia wasizaliane.

Hawa wanatakiwa kuuliwa wote, kwa miaka zaidi ya 30 sasa wamezaliana sana, mpaka wamefuka Tabora huko.
 
Bahati mbaya upande wa pili, kwa wale haters, hakuna mwenye uwezo wa kuwaza hivi.......wao ni kuwaza ushetani tu.
 
Mwinyi hahusiki na kuleta kunguru. Huenda umesahau au unajitia hamnazo. Mhusika ni yule MABIBO kutoka Mabibo ya Tangawizi.
Waliletwa na Mwinyi Zanzibar ili kuondoa uchafu, wakazaliana sana, wengine wakafika Dar. Waliongezeka kwenda Morogoro, Dodoma mpaka Tabora.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…