KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,757
- 86,400
weka uwa rose inatosha...hahaha,. Sawa baba inafutwa soon
Niambie basi niweke ipi?
weka uwa rose inatosha...hahaha,. Sawa baba inafutwa soon
Niambie basi niweke ipi?
sawa sawaweka uwa rose inatosha...
am watching you, next time usiweke picha ya mtoto kama wewe unatunza privacy yako kwanini usitunze na ya mtoto wako..?sawa sawa
Ni upendo tu lakini,. Nitumie basi kapicha hapa nikaweke hata kamdoli mana device nayotumia haina picha yoyote. Means nikitoa saizi profile itakuwa waziam watching you, next time usiweke picha ya mtoto kama wewe unatunza privacy yako kwanini usitunze na ya mtoto wako..?
Ni upendo tu lakini,. Nitumie basi kapicha hapa nikaweke hata kamdoli mana device nayotumia haina picha yoyote. Means nikitoa saizi profile itakuwa wazi
hii hapana sijaipenda😀
unataka ipi..?hii hapana sijaipenda😀
Siku nyingine wakikuuliza ulifuata nini wambie ulienda kutengeneza madraya Yao Yale jibu kisomi basi jombawarembo waliniita niwanunulie vinywaji, kisha wakaniambia kaa hapa tunywe wote, ile nimekaa tu kunguni wakaanza kunishambulia ndio nikaashangaa inakuaje warembo wanakuwa na kunguni salunini kwao wakati dawa zipo zinauzwa za kuteketeza wadudu hao wasumbufu?