LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 26,853
- 41,396
- Thread starter
- #21
Kuna mrembo mmoja alinikuta hiyo saluni yenye kunguni, baada ya kufanyiwa hair dressing aliomba nimpe escort mpaka nyumbani kwake. Akanikaribisha kwake nikae sofani. Cha ajabu hana ustaarabu kwake pako rafu, makochi yake yako random yamechakaa na ni machafu ila ukimuona nje yuko smart wakati ndani kwake ni pachafu hapapendezi