KUng'angania wapenzi ni utumwa, au ugonjwa??

Mizenguo inapunguza mapenzi hata kama yapo kiasi gani..sasa hivi hayupo moyoni ..siwezi jilazimisha..unless nitakua namdangaya..sitaki mpotezea muda wake bure...

ndo tatizo la binadamu, kuna kuchokana. Unajiuliza huyu mtu ilikua haiwezi pita dakika bila kumuwaza lakini leo hii hata wiki inakata humfikirii...we're just being human beings i guess
 
..unamtamkia mara kibao..jamani tuachane lakini yeye analilia kila siku..

Imeandikwa bisheni milango nayi mtafunguliwa. Sijali wewe umesema nini ua unafanya nini, Bazazi ataendelea kusimama mlanganina kubisha hodi hadi unifungulie. Unacheza na shinikizo wewe! Halafu ukisapata unasepa kwa kasi ya Appollo II (mwendo kasi mtoroko) baada ya kufanya uharibifu wa kufa mtu.

Bazazi ni Bazazi!
 
Jamani mapenzi ni ya ajabu sana... Kipindi kile unamtongoza ulikuwa unamuona KEKI, umeshamsalandia vya kutosha saivi unamuona KITUMBUA cha jana... Haya..Angalia tuu na hiyo Microwave isije ikapoa ukatuletea habari nyingine..
 
Back
Top Bottom