Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
Hapana mkuu,huwa tunawagongelea msumali wa nchi sita utosini!
Precisely mkuu!Kudadadeki, ee bwana weee! Yaani dizaini ya wasomali. Eheeee, kweli ungekuwa mwana yatima wala si siri.
Kama uchawi ni tiba katika mpira basi Katavi Rangers ingekuwa bingwa wa dunia.....hahahahaaah!!Kumbe ndiyo maana Pinda anaogopewaaaaaa, ni mambo ya Katavi, eheeee? Duh, haya wapenzi wa Simba na Yanga msiopenda maendeleo ya mpira, watumieni ujumbe timu zenu za kishirikina pale Jangwani na Msimbazi pengine mtachukua ubingwa wa dunia mwakani.
Kama uchawi ni tiba katika mpira basi Katavi Rangers ingekuwa bingwa wa dunia.....hahahahaaah!!
Duh!mimi nakata hiyo dawa ya mapenzi(Kamuti) kuna demu mmoja ananisumbua sana!
Acha urongo,supu ya pweza haina lolote!Kula vinono na ongea supu ya pweza na uwe ok kwa tendo husika.
Kweli mkuu,kuna wakati iliwahi kufungwa na Yanga goli 12 kwa sifuri!Kama uchawi ni tiba katika mpira basi Katavi Rangers ingekuwa bingwa wa dunia.....hahahahaaah!!