Kung Fu Kitandani

Kila mtu na Raha zake inaweza kua anauhakika na raha utakazo mpa ndio mana amesha jipanga na Kelele...
 
Dah!Jamaa keshaharibu.Ngoja nikambinue wangu mara ya mwisho mwisho kabla hajasoma huu uzi
 
Sitaki amini mtu ana eza binuliwa binuliwa kizembe na hataki alafu akae kimya wanakuwa wana furahia tuache kudanganyana hapa. Kweli kabisa mtu asikie maumivu alafu akae kimya ni movie ana act au? Sio kweli wengi wana enjoy asiye taka huwa anasema hawezi
 
Oopss... umeongea kwa hisia kali kama yalishakukuta vile?
 
Kama kweli vile???
 
Oopss... umeongea kwa hisia kali kama yalishakukuta vile?
Hayaja nikuta ila wanawake hua tunaongea mengi unaweza kukutana shogako mloshibana akakwambia mwenzangu pale naenda hiyo basi tuu lakini michezo sifuri,unabaki unamuangalia tuu yule bwana..
 
Duh.
Hivi mbona wale walikekeketwa huwa na tabia ya kupiga kelele sana hata kama mashine iko mbali kabisa na mlango. ikoje hiyo, yaani siwasomi kabisa ujue.
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…