impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,733
- 7,618
Tatizo Hawa walokole mnenaji mwenyewe haelewi anachoongea mtafsiri atafasiri nini?Hakuna lugha isiyoelewaka, ndio maana maandiko yanasisitiza uwepo wa mfasiri, ikiwa hakuna mfasiri basi wakanenee hizo lugha vyumbani mwao na sio in public